🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna daftari linakuwa na taarifa za uongo kama lile la lodge au guest. Wahuni bhana huwa pia waongo waongo.
Mtu anaandika katoka Bunda kumbe katoka Bunju yupo Sinza lodge.
Wewe unafikiri gesti zimefungwa?!Mpaka leo bado mnaenda gesti
Wakulima wanazidi WAFANYABIASHARA?Hakuna daftari linakuwa na taarifa za uongo kama lile la lodge au guest. Wahuni bhana huwa pia waongo waongo.
Mtu anaandika katoka Bunda kumbe katoka Bunju yupo Sinza lodge.
Mkuu upo?Unaanzaje kuandika taarifa za kweli kwenye daftari lile??
Oldonyo Lengai ndio wewe ?Yale madaftari huwa siwezi kuweka taarifa zangu hata iweje.
Natumia jina fulani hivi la Kimasai kwenye maeneo kama hayo.
Oldonyo Sambo.Oldonyo Lengai ndio wewe ?
Subiri siku polisi wakikagua wakakuimba kitambulisho. Utasaga menoYale madaftari huwa siwezi kuweka taarifa zangu hata iweje.
Natumia jina fulani hivi la Kimasai kwenye maeneo kama hayo.
Ukipata tatizo ndo inakuwa tatizo, kama huwa unakuwa na nia njema andika jina lako halisi tuYale madaftari huwa siwezi kuweka taarifa zangu hata iweje.
Natumia jina fulani hivi la Kimasai kwenye maeneo kama hayo.