Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Hata nikiwa na nia njema siwezi kuandika jina langu halisi. Jina langu siyola kutapakaa kila sehemu.Ukipata tatizo ndo inakuwa tatizo, kama huwa unakuwa na nia njema andika jina lako halisi tu
Acha kuishi kwa uoga ishi kwa akili. Kwani kutokuwa na kitambulisho ni kosa?Subiri siku polisi wakikagua wakakuimba kitambulisho. Utasaga meno
Subiri siku polisi wakikagua wakakuimba kitambulisho. Utasaga meno
Mi NaandikagaYale madaftari huwa siwezi kuweka taarifa zangu hata iweje.
Natumia jina fulani hivi la Kimasai kwenye maeneo kama hayo.