Kwenye Digital Marketing kuna Elements nyingi kama SEO,content Marketing, Design, Copywriting Nk

mbacho massawe

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2016
Posts
299
Reaction score
245
Kwenye Digital Marketing kuna Elements nyingi kama SEO,content Marketing, Design, Copywriting Nk.

Lakini Moja kati ya Elements muhimu sana za Digital Marketing ni copywriting.

•Miaka ya nyuma wakati kampuni ya Rolls Royce wanataka kufanya mauzo yao,walianzisha mashindano ya kupata kichwa bora cha tangazo lao ili kusaidia kuongeza Mauzo yao Sales.

•Wakati wa mashindano Hayo Aliibuka Gwiji mmoja wa Copywriting wa kuitwa David Olgilvy, Alitumia wiki takribani 3, Alizama chimbo na kuichunguza kiundani Gari ya Rolls Royce na kuja na kichwa bora cha habari kikisomeka.

"At 60 miles an hour the loudest noise in this new Rolls-Royce comes from the Electric clock"

Kichwa hicho cha habari kilifanya mauzo ya Gari za Rolls-Royce kuongeza mara dufu na kupelekea David kujipatia Fame.

•Hio ndio nguvu ya copywriting katika kuongeza mauzo "Sales"

•Copywriting ni nini ?
•Ina Faida Gani kibiashara ?
•Unahitaji nini na nini kufanya Copywriting ?

UZI WA SIKU NYINGINE.
 
kufanya blog ionekane google katika top 3 ya matokeo ambayo wengi huwa tunaclick ni ka kuandaa pilau, Pilau ina viungo vingi na ndivyo inabidi blog iwe ili iwe juu.

Kiukweli content ndio mfalme lakini kuna waty kibao tu wanaajiri hadi waandishi wawaandikie kwenye blogs zao, ila hii haitoshi, itabidi uwe na backlinks na vitu vingine.

Ila kwa keywords ambazo hazina competition ni rahisi ku rank ila traffic ni ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…