Kwenye droo ya Robo fainali ya CAF inaweza kutokea timu za nchi moja zipangwe kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali?

Kwenye droo ya Robo fainali ya CAF inaweza kutokea timu za nchi moja zipangwe kuwania nafasi ya kuingia nusu fainali?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana?

Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
 
Haiwezekani wakapangwa pmoja maana wote wamemaliza nafasi ya pili

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
You're right. Timu zikishika nafasi zinazofanana, ya kwanza au ya pili kwenye makundi yao, hatua ya robo fainali haziwezi kukutana simply because mshindi wa kwanza atacheza na mshindi pili and vice versa.
 
Ndio mkuu inawezekana,
CAF kuanzia makundi hadi final hawaangalii mmetokea nchi moja au lah, hivyo mnaweza jikuta timu za taifa moja mpo kundi moja,
Same mnaweza kupangwa dhid yenu qf, sf au final
 
Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana?

Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
Kundi gani tena mzee baba? Makundi yameshaisha. Baada ya makundi droo ndio inaamua, hawaangalii nchi
 
Back
Top Bottom