You're right. Timu zikishika nafasi zinazofanana, ya kwanza au ya pili kwenye makundi yao, hatua ya robo fainali haziwezi kukutana simply because mshindi wa kwanza atacheza na mshindi pili and vice versa.
Ndio mkuu inawezekana,
CAF kuanzia makundi hadi final hawaangalii mmetokea nchi moja au lah, hivyo mnaweza jikuta timu za taifa moja mpo kundi moja,
Same mnaweza kupangwa dhid yenu qf, sf au final