Kwenye fumanizi, pambana/ pigana na mwenza wako. Achana na aliyezawadiwa penzi

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Ni uzwazwa kupambana/kupigana na aliyezawadiwa penzi wakati wa fumanizi.

Kwasabb mumeo/mkeo kafanya maamuzi mwenyewe pasipo kushurutishwa na huku akijua ana mke/mume.

Mkeo au mumeo hajabakwa, sasa inakuwaje unaacha kumpiga yeye unampiga mtu aliyekusaidia kumstarehesha?
 
Huwezi haribu/dhuru unachokipenda.

Asiyekupenda hana haja/muda wa kufumania.
 
Kwenda kufumania ni jambo la ovyo sana, matokeo yake sio chanya kwa pande zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…