Kwenye hii mitandao mnakopa wapi

Kwenye hii mitandao mnakopa wapi

Nimejaribu app mbili kote sijapata hata elf 5. Nina uhakika wa kulipa kesho kutwa tu kwahiyo hawatanisumbua(maana mtasema hilo)
 
Nimejaribu app mbili kote sijapata hata elf 5. Nina uhakika wa kulipa kesho kutwa tu kwahiyo hawatanisumbua(maana mtasema hilo)
Kama unatumia android ingia playstore zipo nyingi sana ila wanatoa kuanzia 5000 ukilipa unaongezewa kiwango cha kukopa.
 
Mi branch nawakopa nawalipa sina haraka nao nawakubali sana waelewa mno alafu riba kidogo
 
Back
Top Bottom