Kwenye hii, Upo wapi, nyeupe au nyeusi?

Kwenye hii, Upo wapi, nyeupe au nyeusi?

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
Nimewaza sana.....hapo nani ANAIMBA na nani ANAIMBA IMBA..??

FB_IMG_16312257932891802.jpg
 
Mtoto idi siku Ukimwona
Atakwambia Lala salama wewe utaona kama Hakuna kulala
 
Namalizia kuskiliza goma yake hapa hili game feat Myama! Nikitoka apo naingia gheto gheto! Nikimalizana na yeye naingia kwa kwa D knob Elimu mtaani! Nikiachana na iyo nipo na kimya kimya ya myana wa East zoo! Baadae naruka mpaka east coast team hii leo! Namngojea mchizi mox. next mambo vip? Badae na back kwa mwana chemba nipen deal masela! Baadae nasema hivihuyu ni demu ni wangu! Kama ww mtoto wa jana huwez kuelewa kitu hapa! Never skip song
 
Back
Top Bottom