Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

Yaani vijana wa ccm wamenywea hawaoni sabaya anatolewa kafara na mama kujipendekeza kwa jumuia ya wazungu wa magharibi. Mwenyekiti gani wa chama cha mapinduzi sio mwanamapinduzi. Dalili wazi ni Muoga wala hana jeuri yoyote kupambana na mabwanyenye wa ndani na ubeberu wa kimataifa.
 
yule Sabaya ni jamabazi wa kiwango cha juu hata ccm wanajua sasa kule wanaenda kufanya nini wacha apate anachostahili,Mdude alibambikiziwa kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…