Kwenye hili,WANAUME tunafyata mkia!



Tunayaona haya kila siku, siku hizi wanawake wako mstari wa mbele kuacha waume zao!
 
hiyo nyumba ndogo ni mwanamke au mwanaume maana kama ni mwanamke hujasolve tatizo bali umeongeza
duh respect mkuu,
ila mvumbuzi wa ndoa anapaswa kutoa remix yake, maana haya mambo mzee yanachanganyaga mno,
 
Ziltan,hiyo remix sijui itafananaje aseee!
 
ila kiboko ya mwanamke mpachike watoto 3 wa haraka, kila mwaka ndo unampumzisha kwa miaka minne ile anaanza kuinua macho juu unampa ya mwisho ya kuzeekz nayo.
Kongosho bana,nimecheka mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…