Kwenye kikosi bora cha dunia hakuna hata mmoja kutoka epl, nini maana yake?

wewe unaesema kwamba EPL ni the best league nani kakudanganya angalia hata takwimu zinakuonesha kwamba CL imekaa Spain miaka 3 mfululizo bisha uchekwe


Na Mara hii Ya 4 pia Kwa Real hole na Barcelona hile Tarajia Kuchukua.
 
Munachozungumzia Nyinyi Ni Alphabetical Order Kwamba R ipo mwanzo Kuliko T..
acha ubishi real anaongoza kundi..sasa sijajua vigezo vyako n vipi.maana m nijuavyo uwa wanaangalia goal dfrn...kama wako sawa wanakuja alfabet sasa ndo maana real anaongoza...sasa usibishe kwa ilo..na baadh ya lig kama spain walilingana point wanaangalia walivyokutana nani alifungwa mara nying kwa msimu
EPL NI LIGI MBOVU ILA KUJINADI KWINGI.

Huo ni ukichaa sasa De bruyne anakiwango gani cha kumfikia Kroos au Iniesta.....KDB bado hata robo ajafika

Africa hata angekuepo aliye kua kwenye kiwango bora basi unadhani wange muweka! Anhaa

Hahahahahaha basi msilalamike players wa EPL kuendelea kukosekana kwenye Tuzo muhimu kama hizo
 
Wamembania tu Hazard ila alifaa sana...


Iniesta na Kroos mavi ya kuku tu wale msimu huu!







Ila Africa maeee sijui mwaka gani..
 
Wote hao tusubiri nusu fainali kama utawaona hata mmoja!Huyo spurs anaongoza kundi but usijeshangaa ndoo inaenda Bernabeu.
 
Huo ni ukichaa sasa De bruyne anakiwango gani cha kumfikia Kroos au Iniesta.....KDB bado hata robo ajafika
hizi ni stats za iniesta mwaka jana

-la liga ameanza mechi 13 tu sababu ya majeruhi (hapa peke yake hafai kuwemo kwenye tuzo.)
-magoli 0
-assist 3

hapa ndio tulipofikia mchezaji msimu mzima ana kigoli kimoja na vi assist vitano, amemiss karibia msimu mzima lakini anakuwepo kikosi cha dunia. hebu nishawishi mkuu amefanya nini iniesta? ligi kakosa, uefa kakosa, zaidi ya nusu msimu alikuwa majeruhi, site zote kubwa duniani zinazofanya analysis zinamrate kidogo sana iniesta, even team mates wenzake kama rakitic wamefanya zaidi vizuri.
 
Hahahahahaha basi msilalamike players wa EPL kuendelea kukosekana kwenye Tuzo muhimu kama hizo
EPL hata ifanye vizuri vipi tumezoea hicho kikosi ni nadra kuwakuta.


hapa chelsea walitwaa uefa mwaka 2012, cech yupo form, wanapaki bonge la basi, beki imetulia, midfield imetulia. fainali walifika wao na bayern.

cha kushangaza kikosi kinatoka la liga tupu hakuna chelsea wala bayern.

kama huna sura ya mauzo huingii kwenye hicho kikosi hata upige mpira vipi hilo linajulikana.
 
Kawaulize macaptain na makocha wazoefu kwanini wameamua kumchagua Iniesta na wala sio hao wengine.
 
...vipaji muhimu sio force king na promo saaana..
 
Mimi naona kuna tofauti ya ubora wa ligi, ubora wa timu na mchezaji mmoja mmoja ... Yawezekana EPL haina wachezaji wazuri Sana au timu bora lakin ikawa ligi bora kutokana na kiwango cha ushindani.... EPL ni ngumu Sana kujua ipi ni timu kubwa na ipi ni ndogo...... Mim naona ligi kua bora ni ligi kua ushindani
 

Mkuu umeongea kwa ukakasi sana, vip we ndio chairman wa fa nini..

Kuingiza timu 5 na kuongoza makundi bado si sababu..

Chukua misimu kadhaa nyuma timu za epl zimekuwa zinafanya nin bora zaid kuliko hizo nyingine..

Ntajie wachezaji kadhaa wanaodeserve kuwa humo halaf nitolee kadhaa..

Epl ni inaonekana ni ligi bora au ligi yenue utamu kama ninavyopenda kuiita sababu timu zina uwezo unaofanana ama kukaribiana, ubora wa timu kadhaa umeshuka..liver hatofautian na tott wala arsenal wala everton wala man u..

Ni ligi isiyotabirika..

Usishangae anaeongoza ligi akaenda kudrop point kwa timu ya mkiani..
Ila viwango vyao katika uefa ni vya kuchechemea zaid.
 


Kwanza Mchezaji Asiyestahiki Kuwepo Katika Hicho Kikosi Ni Iniesta! Najua Utabisha lakini Kwa Last Season Hakuwa Na Msimu Mzuri kutokana na injury...

Pili Mimi ninaichukia Man U lakini Ukweli usiofichika Degea Haiwezekani Kuwa Asiwemo Katika Makipa Watatu Bora...

Na Jengine ni Kwamba Miongoni mwa Mabeki Waliokuwa Bora Zaidi Has a Katika Ubora Wao ni Rio na Vidic! Lakini Katika Kikosi bora alikuwa eti Wanamg'ang'ani JP na Puyol (age 35)
.. Kisa tu Rio na Vidic Wapo EPL..

Hata Ronaldo alipokuwa Man U alikua ni bora Kuliko Misimu hii Minne iliyopita! Lakini Hakudeserve Kuwa Katika Kikosi Bora Kisa tu alikuwa EPL...

Tukubali Kuwa Wazungu Unazi Wanao na Ndiyomana hats Yaya Toure Kisa tu alikuwa EPL ingawa alikuwa Katika Ubora wake lakini Walimg'ang'ania Segio Bosquet...

Hata Alonso Hakuwahi Kuwa na Ubora wa Kumzidi Essien na Yaya Toure.
 
Hahahahahaha basi msilalamike players wa EPL kuendelea kukosekana kwenye Tuzo muhimu kama hizo
Giroud anacheza wapi?!..by the way hakuna anaethamini hizo tuzo kwa kuwa zimepoteza uhalisia
 
sio sura ya mauzo..ucheze LA liga
 
EPL ni ligi pendwa sio ligi Bora hahahaaha si unaona hawapo hapo...angalia wachezaji wa Real Madrid wako watano, Barcelona wawili, Juventus watatu na PSG mmoja... Unaweza ukaona tofauti ya ligi bora na ligi pendwa

MKUU JUVE WAPO WAWILI, PSG WAWILI. ALVES NI WA PSG KWA SASA
 
waliopendekeza majina ya hicho kikosi si unawajua ?
Mmoja barca na mmoja madrid, so ulitegemea nini !!
kina Neymar wamepitia mlango wa barca,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…