kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps.

Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
 
320 naonaga sound inakuwaga na sound poa sana.
 
Back
Top Bottom