MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Hebu fikiria khs msumari , Msumari hugongwa sna kabla ya kutoboa na kuzama ndani ya kitu, ndio Jinsi maisha ya Kijasiriamali jinsi yalivyokuwa.
So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila Kuwa imara tu km Msumari hatimae utatoboa!.
So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila Kuwa imara tu km Msumari hatimae utatoboa!.