MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
Picha ya avatar ni yako?Ahh kumbe kugongwa msumari sawa
duh, sio mchezo, ni fasihi ktk ubora wakeHebu fikiria khs msumari , Msumari hugongwa sna kabla ya kutoboa na kuzama ndani ya kitu, ndio Jinsi maisha ya Kijasiriamali jinsi yalivyokuwa.
So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila Kuwa imara tu km Msumari hatimae utatoboa!.
View attachment 580459