Kwenye ligi kuu Uingereza, ipi ni timu kubwa yenye mafanikio?

Kwenye ligi kuu Uingereza, ipi ni timu kubwa yenye mafanikio?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Kuna hili swali wadau hivi timu kubwa yenye MAFANIKIO makubwa katika ligi zote ilizoshiriki pale uingereza ni timu gani hapa nikimaanisha ligi kuu na UEFA naomba kuijua ambayo ni namba moja maana hapa Kuna mtu mbishi sana tunabishana namuambia ni Liverpool ndio Ina makombe mengi
 
Ujumla wa makombe liverpool na man u wote wana jumla ya vikombe vya michuano mbalimbali liverpool 68, man u 68.. Toka kuanzishwa kwa vilabu vyao
 
Ana UEFA ngapi Manchester united na Liverpool anazo ngapi mkuu
Mdau kazungumzia team enye mafanikio uingereza inamaana makombe yote ya ndan na mafanikio mengne biashara mashabik kwaiyo bila kungata meno n man united ukibsha bs nenda uka google
 
Mdau kazungumzia team enye mafanikio uingereza inamaana makombe yote ya ndan na mafanikio mengne biashara mashabik kwaiyo bila kungata meno n man united ukibsha bs nenda uka google
Umesoma mada yangu nimesema UEFA na ligi kuuu. Mbona hua mnakurupuka sana ndio maana huyo mwenzio nikamuuliza man u na Liverpool wana UEFA ngapi ngapi
 
Kiti cha mwenyekiti wa mdaharo huu kihakikishe kinalinda kwa wivu mkubwa heshima ya Liverpool.
 
Back
Top Bottom