Kwenye Lugha kuna mother tongue, kwenye mapenzi kuna First love, tunaita Main Base ya Mahusiano

Robert hii kitu ni kweli kabisa na ndio maana wataalamu wa mambo wanakwambia before huja m- date mtu fatilia angalau wanaume wake watatu wa mwisho , utapata kitu cha kukusaidia na kugundua una deal na mtu wa namna gani !
Sasa huo muda wa kumchunguza mtu namna hiyo unautoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…