Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Hali zanu wakuu? Leo nimekumbuka kitu cha ajabu kidogo, ma Don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke wake na kwa yeyote aliyecheza naye.
Kupitia season 4 ya Prison Break nimeng'amua namna ma Don wa Kimarekani wanavyoishi, aisee hawaogopi kufa, na sijui kwa nini. Yaani ni ubabe ubabe aisee!
Kupitia season 4 ya Prison Break nimeng'amua namna ma Don wa Kimarekani wanavyoishi, aisee hawaogopi kufa, na sijui kwa nini. Yaani ni ubabe ubabe aisee!