Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Uliyoyaona humo kwenye "season" mbona ni machache sana.Ni muigizo tu.Hali halisi ipo kwenye maisha yao ya kila siku.Hasa uwakute "wahamiaji" kutoka Italia,Mexico,Colombia,Hispania nk.Hali zanu wakiuu? Leo nime recall kitu cha ajabu kidogo, ma-don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke wake na kwa yeyote aliyecheza naye.
Kupitia season 4 ya Prison Break nimeng'amua namna ma-don wa kimarekani wanavyoishi, aisee hawaogopi kufa, na sijui kwa nini. Yaani ni ubabe ubabe aisee!
ao wenzet wanakijua vzr kifo ndo maana hawakiogop... km haikujui kitu kitakutesa sanaHali zanu wakiuu? Leo nime recall kitu cha ajabu kidogo, ma-don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke wake na kwa yeyote aliyecheza naye.
Kupitia season 4 ya Prison Break nimeng'amua namna ma-don wa kimarekani wanavyoishi, aisee hawaogopi kufa, na sijui kwa nini. Yaani ni ubabe ubabe aisee!
Aisee watu ni mafia kinomaUliyoyaona humo kwenye "season" mbona ni machache sana.Ni muigizo tu.Hali halisi ipo kwenye maisha yao ya kila siku.Hasa uwakute "wahamiaji" kutoka Italia,Mexico,Colombia,Hispania nk.
Prison break season 1 John Abruzzi alikuwa yupo jela pale River Fox state penitentiary halafu bado anaendesha biashara zake huko nje na washirika wake,Scofield alijiweka karibu nae hili wapate ndege itakayotumika kuwatorosha siku ya kuescape bahati mbaya ikawaacha kidgo tuHali zanu wakiuu? Leo nime recall kitu cha ajabu kidogo, ma-don wengi na mafias wapo Marekani na ni Wamarekani. Kwa kukazia nimemkumbuka General Jonathan ambaye alikuwa ni mafia hatari mno, kwa mke wake na kwa yeyote aliyecheza naye.
Kupitia season 4 ya Prison Break nimeng'amua namna ma-don wa kimarekani wanavyoishi, aisee hawaogopi kufa, na sijui kwa nini. Yaani ni ubabe ubabe aisee!
Na huyo mzee wa kwenye avatar yako anaitwa nani vilee nimemsahau..nimemkubali sana kwenye revolutionTukiongelea Mafia wa kwenye series basi Breaking Bad itakuwa imetisha kuanzia.
1. Gustavo fring
2. Don Eladio
3. Mapacha wale nimewasahau majina Yao
4. Funga kazi ni lile kundi lilokuja kumaliziwa na Heinsberg
Ila wenzetu linapokuja suala la kazi ni next level kitu kinatoka kikiwa perfect. Acting na production kweli ni world class unaangalia kitu unakifeel kabisa acheni tu Breaking Bad iwe no 1 pale inadeserve.
AiseePrison break season 1 John Abruzzi alikuwa yupo jela pale River Fox state penitentiary halafu bado anaendesha biashara zake huko nje na washirika wake,Scofield alijiweka karibu nae hili wapate ndege itakayotumika kuwatorosha siku ya kuescape bahati mbaya ikawaacha kidgo tu
Gustavo fringNa huyo mzee wa kwenye avatar yako anaitwa nani vilee nimemsahau..nimemkubali sana kwenye revolution