Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani huyu ndio role model wa ukweli wa vijana wanaochipukia. Ndio mchezaji Tanzania tokea nimemfahamu ame mantain form, discipline na professionalism.Jamaa kwenye maisha na mpira wake ana nidhamu sana ?
Usiombe usajiliwe kwenye namba yake hapo utajuta hata kama umetoka madrid.
Pamoja na mkude, bokoMimi nadhani huyu ndio role model wa ukweli wa vijana wanaochipukia. Ndio mchezaji Tanzania tokea nimemfahamu ame mantain form, discipline na professionalism.
Mkude? Hapana mkuu labda Bocco, Mkude amekuwa na scandal nyingi za ulevi na utovu wa nidhamu nje na na ndani ya uwanja.Pamoja na mkude, boko
Ila kamantain kwenye gameMkude? Hapana mkuu labda Bocco, Mkude amekuwa na scandal nyingi za ulevi na utovu wa nidhamu nje na na ndani ya uwanja.
Nilikuwa namaanisha tu Mo Hussein ni all round footballer kwenye kila kipengele,nje na ndani ya uwanja.Ila kamantain kwenye game
Ila nasikia anapiga misumari hatari.Mungu ndie mpaji wa yotee
All d best brView attachment 3076845