Kwenye maombi yako usiwasahau yatima

Kwenye maombi yako usiwasahau yatima

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Yatima wengi hawana msaada kutokana na ubinafsi wa wengi kudhamini watoto wao wa kuwazaa pekee kama unaweza kufunga basi fanya hivyo kwa ajili yao ili mungu awafanyie njia.

Walio kata tamaa na maisha hili kundi ni kubwa sana na issue inayosumbua hili kundi ni pesa waweke kwenye maombi yako wapate pesa kwani wakibaki kuwa hopeless kama walivyo mitaa haitakuwa mahali salama.
 
Ila binadamu ni wabinafsi Sana na lengo la zaka na sadaka zinazotolewa nyumba za ibada likuwa ziende kwenye makundi ya watu kama hawa Chakushangaza majamaa yanashindana kujenga majumba ya kifahari ,kununua magari ya anasa na kuishi Maisha ya kifahari.
 
Back
Top Bottom