Kwenye mapenzi

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
61,672
Reaction score
178,673
Ukiachana na matapeli na mafisadi wa mahusiano, halafu kuna sisi tunapendwa kwa mapenzi ya dhati πŸ˜…πŸ˜… yaani tunazingua na pombe zetu ila ni ba mtu kwa mamsi wa ndoto zakoπŸ˜†.


Kabla ya kutaka kwenda mbinguni ebu jifahamu kwanza kama unajitambua bwashee πŸ€”
 
 
Haya mwenetu!!
Hata wale waliopigana risasi, wengine kuchomana na gunia za mkaa nao pia walisema hivyo hivyo....

Moyo wa mtu ni kiza kinene!!
 
Ngoja nilewe kwanza kisha niusome huu uzi tena,huenda nikauelewa,

Kuuelewa uzi uliokuja kwa hisani ya Bia,ni lazima ulewe kwanza ndio uuelewe.
 
Wewe hizo mbege za mama shirima Mwambie apunguze ingredients kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…