Kwenye mawazo mchanyato

Kwenye mawazo mchanyato

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kwenye MAWAZO MCHANYATO Nadhani Kocha wa Orlando kulalamika Yuko sahihi.

Baadhi ya mashabiki wa Soka Tanzania kuwasapoti wapinzani wa Simba Wako sahihi pia.

Simba Sc kuendelea kujiheshimisha na kuiheshimisha Taifa kupitia uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo Bora Wako sahihi pia pia.

TUSIISHI KWA MRENGO MMOJA HUU MPIRA WA MIGUU NI UNIVERSAL SPORTS

KWA KUWEPO KASH KASH NYINGI KAMA HIZI NA NDIO ENTERTAINMENT ILIPO.
.
Tusinyimane Burudani kwa kutaka maisha yawe Uniform Wajuba.
.
I stand to be corrected[emoji120]
 
GT analysis inaweka sababu
kwa nini baadhi ya mashabiki wa Soka Tanzania kuwasapoti wapinzani wa Simba Wako sahihi ?
 
Back
Top Bottom