Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama Zanzibar ingekuwa ni nchi kamili, basi ungewaona leo Mlandege wakiwakilisha ardhi ya Zanzibar kwenye hayo mashindano ya Afcon!!Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji.
Sasa wanafeli wapi??Kumbuka Mimi mtanganyika wa huku ushirombo.