Habari za kazi wadau.nimeona guinea bissau, equatorial guinea na Guinea afcon nikaona si kwa ubaya wale mlandege tungewaona pale afcon wakiiiwakilisha ardhi ya zenji.
Sasa wanafeli wapi??Kumbuka Mimi mtanganyika wa huku ushirombo.

Kwa hiyo kama Zanzibar ingekuwa ni nchi kamili, basi ungewaona leo Mlandege wakiwakilisha ardhi ya Zanzibar kwenye hayo mashindano ya Afcon!! Wewe utakuwa umeshinda na njaa kutwa nzima ya leo bila shaka.