Binafsi naona kila mmoja yupo sawa tu , uage usiage ,afe uzike leo au baada ya siju 10 ,utoe uchafu tumboni usitoe yote sawa tu , uliwe na fisi ama uzikwe ,wa kufa ameshakufa tu ,kote huko ni kujilisha upepo tu.Waislamu hawana ujinga ujinga huu kama wa macrusader.
Kuusafisha mwili na kuupaka manukato na kwenda kuufukia mavumbini, ni heshimu tu na kuujali ubinadamu wetu japo ni kujilisha tu upepo.Kuaga mwili wa marehemu na kwenda kuufukua mavumbini.
Kumbe tunazika kwa faida yetu ,na sio kwa faida ya alie kufa, huwa nashangaa sana mtu asipo enda kanisani hawa wakristo wanatishia eti hautazikwa na mchungaji au padri ,alafu watu wanaogopa kabisa🤔🤔Ni matakwa tu ya kibinadamu ila haibadilishi chochote kuwa huyo ni mfu, amekufa, hajui lolote, uage, utoe heshima, usindikize nk vyote yeye hajui.
Ni heshima tu kuwa huyu alikuwa binadamu mwenzetu, hakuna lingine. He's dead, he knows nothing na ndio maana anapigwa chepe, thamani yake duniani haipo tena...ukitaka kuthibitisha hilo, muache nje for three days, hakuna atakayeweza kuishi mazingira hayo.
Marehemu azikwe au asizikwe yeye anajua nini mkuu? Ule ubinadamu, ile heshima ya utu wake ndio vinafanya tuchimbe shimo na kufukia mzoga wake huko. Otherwise, wanyama wanakufa na kuliwa na ndege au wanyama wenzao na hakuna tofauti.Kumbe tunazika kwa faida yetu ,na sio kwa faida ya alie kufa, huwa nashangaa sana mtu asipo enda kanisani hawa wakristo wanatishia eti hautazikwa na mchungaji au padri ,alafu watu wanaogopa kabisa🤔🤔
Kuna kupita kando ya jeneza la marehemuKifo ni fumbo. Ni nini hasa hutokea mtu anapokufa? Je binadamu ni nini hasa mwili au pumzi ya uhai ndani ya mwili au vyote? Je ni sahihi kusema tunaaga mwili wa marehemu au tunamuaga marehemu?
Je hata wale wasioamini maisha nje ya mwili hufanya nini mbele ya miili ya marehemu? Kuheshimu, kuaga, kuomboleza, kuona, kusali au hufanya nini hasa?
Hawa waislam wanajiona wako smart sana wakat ndio mashetani wenyeweBinafsi naona kila mmoja yupo sawa tu , uage usiage ,afe uzike leo au baada ya siju 10 ,utoe uchafu tumboni usitoe yote sawa tu , uliwe na fisi ama uzikwe ,wa kufa ameshakufa tu ,kote huko ni kujilisha upepo tu.
Rafiki yangu mghana alifiwa na baba yake mwezi wa saba, wakaja kuzika December. Nilishangaa sana, taratibu za mazishi kwao ni kitu nyingine kabisa. Maiti kukaa mortuary kwa miezi mitatu ni kawaida sana.Kila mtu ashinde mechi zake ,kila jamii ina taratibu zake nenda hapo Ghana utaona maajabu maiti anawekwa kweny kiti kabisa .
Ghana msiba kama sherehe watu wanafurahia kabisa acha tu hii dunia ,kila mtua ana imani yake.Rafiki yangu mghana alifiwa na baba yake mwezi wa saba, wakaja kuzika December. Nilishangaa sana, taratibu za mazishi kwao ni kitu nyingine kabisa. Maiti kukaa mortuary kwa miezi mitatu ni kawaida sana.
Wengine wanachoma kabisa hizo maitiMarehemu azikwe au asizikwe yeye anajua nini mkuu? Ule ubinadamu, ile heshima ya utu wake ndio vinafanya tuchimbe shimo na kufukia mzoga wake huko. Otherwise, wanyama wanakufa na kuliwa na ndege au wanyama wenzao na hakuna tofauti.
Hapa swala sio ukristo au dini yoyote, tunazika kwa kanuni tulizojiwekea wenyewe ili kuheshimu binadamu mwenzetu aliyetangulia. Kuomba/kutoomba having msaada wowote, coz uombe au la yule marehemu hatasikia wala kuona unachoomba. Baadhi yetu tunaamini zile ni ibada kwa waliopo hai, merehemu haombewi.
na wajaluo piaRafiki yangu mghana alifiwa na baba yake mwezi wa saba, wakaja kuzika December. Nilishangaa sana, taratibu za mazishi kwao ni kitu nyingine kabisa. Maiti kukaa mortuary kwa miezi mitatu ni kawaida sana.
Au ikitokea akafariki ndani ya safari,abiria watataka marehemu awekwe kwenye buti kama mzigo tu.na ukimuacha kwenye kiti abilia watagomea safari.Ni matakwa tu ya kibinadamu ila haibadilishi chochote kuwa huyo ni mfu, amekufa, hajui lolote, uage, utoe heshima, usindikize nk vyote yeye hajui.
Ni heshima tu kuwa huyu alikuwa binadamu mwenzetu, hakuna lingine. He's dead, he knows nothing na ndio maana anapigwa chepe, thamani yake duniani haipo tena...ukitaka kuthibitisha hilo, muache nje for three days, hakuna atakayeweza kuishi mazingira hayo.
Sina dini ila waislamu wapo smart ndioHawa waislam wanajiona wako smart sana wakat ndio mashetani wenyewe
mkuu ulishawai kufa ukapata uhakika ya kuwa aliyekufa haoni wala kusikia?Marehemu azikwe au asizikwe yeye anajua nini mkuu? Ule ubinadamu, ile heshima ya utu wake ndio vinafanya tuchimbe shimo na kufukia mzoga wake huko. Otherwise, wanyama wanakufa na kuliwa na ndege au wanyama wenzao na hakuna tofauti.
Hapa swala sio ukristo au dini yoyote, tunazika kwa kanuni tulizojiwekea wenyewe ili kuheshimu binadamu mwenzetu aliyetangulia. Kuomba/kutoomba having msaada wowote, coz uombe au la yule marehemu hatasikia wala kuona unachoomba. Baadhi yetu tunaamini zile ni ibada kwa waliopo hai, merehemu haombewi.