Kwenye miti hakuna wajenzi

Yaani Serikali Inatenga Budget Ya Pesa Wao Hawanunui Chochote
 
HIVI KWA AKILI YA KAWAIDA TU NDEGE ILIPOANGUKIA NA UFUKWENI MBONA NI KARIBU SANA?? MBONA SISI NGOZI NYEUSI WAZEMBE SANA???
Yaani..... hata hiyo picha navyoonyesha hiyo ndege ilivyo, halafu hao washenzi pumbavu zao eti wataka kutuaminisha walikuwa wanaenda kuzamia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…