Kwenye Mkataba wa DP world Watanzania wanapotoshwa!

Kwenye mkataba masilahi ya DP world yako wazi lakini masilahi ya Tanzania yamefichwa( hayajaandikwa).
 
Hawa dp world ni matapeli wataiangamiza Tanganyika

Bahati mbaya mafisadi yamehongwa na waarabu kuwatetea

Watanganyika amkeni
Leta ushahidi kuwa ni matapeli?
kama wapo kwa zaidi ya Nchi 40 duniani zikiwemo za ulaya na hawajatapeli ndio waanze kutapeli Tanzania?
Tatizo watu wanashabikia vitu serious kwa mkumbo kama kushabikia mpira....hata hawatumii akili zao kutafuta ukweli, Shame!
 
Ipo siku mtawaona Dnata nao wanapiga kambi dar airport badala ya Swissport
Dunia inabadilika Yale mambo ya kubebana yanaanza kuisha na ipo siku makampuni yatapewa tenda kwa ufanisi wao na kazi zao bila kuwa na wapambe nyuma wakiwaongezea mikataba kisa wapate percentage

Tunabadilika taratibu ingawa bado sana, yaani siku tukawa na tani 1000 za dhahabu kwenye reserves basi hapo ndio tutajua na wizi umeisha
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Nilipitia mkataba wa Bandari vizuri, pamoja na changamoto kidogo nilizoona kutokana na uelewa wangu,
forcus yangu ilikuwa zaidi kwenye kupata faida na kukuza uchumi ambapo niliona umezingatia hivyo hayo mengine yote kwa sisi wa private sector sio kipaumbele cha kwanza;

1. Jambo la kushangaza ni kuwa mpaka sasa sijasikia mwananchi, mwanasiasa au hata Kiongozi wa dini anayepinga akitumia hoja muhimu kama ya kiuchumi kitu ambacho kinaonesha kuwa kunaweza kuwa na kitu kingine nje ya huu mkataba labda kwa mashahi yao binafsi

2. Nilisikia, mama mmoja niliyemuheshimu hasa kwa Kisomo chake akisema, mkataba wa DP world ulikataliwa kuendesha bandari huko marekani (New Jersey) ambapo ni kweli ila pamoja na Elimu yake kubwa hakusema kwa nini walikatatiliwa; Labda tu kwa kumsaidia; Bunge la Marekani lilikataa DP World wasipewe Bandari lakini walitoa sababu kuwa, Marekani haiwezi kuwapa Waarabu kuendesha Bandari zao kwa sababu za kiusalama (na sio kwa sababu ya uwezo wa Kuendesha bandari). Wote tunajua chuki binafsi iliyopo kati ya Wamarekani na waarabu - siwezi kuingilia hilo)

3. Kuna mfano hapa; Kampuni ya TICTS imeendesha Bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 tena kwa kuunga unga/kushikwa mkono hata pale mkataba ulivyotaka kuvunjwa, Cha ajabu haijawahi kuwa tatizo hata kama faida ilikuwa haionekani.

Kampuni ya “Swissport” inaendesha Kiwanja cha Ndege cha Dar es Salaam kwa muda mrefu, Siwezi kuongelea kama ufanisi wake upo kiasi gani kwani sio mahala pake hapa.

Mbona hizi kelele hatukuzisikia TICTS & Swisport na wengine walipopewa mikataba?

4. Najua wengi mnaobisha mnajua kusoma; mnaweza kusearch DP world mkaijua vizuri kuwa ile ni Kampuni iliyopo mji wa Dubai na sio Nchi; hata hivyo hakuna Nchi inaitwa Dubai Duniani, ule ni mji tu kama mtu aseme Mwanza, Dodoma nk . Lakini pia, kutokana na ufanisi wake katika kuendesha bandari sasa hivi inafanya kazi za badari kwa Zaidi ya Nchi 40 Duniani zikiwemo Ulaya na Australia na Africa.

5. Nauliza tena; Kusudi kubwa la Uwekezaji ni kukuza Uchumi (namanisha kuongeza kipato/Faida, Ajira nk). Mbona hilo ndio muhimu kuliko yote lakini hamuliongelei wakati wa kupinga ili tujue kuwa tutapata faida au hasara au tutabakia hahapa tulipo?
Watu mapungufu kibao ulikuwa wapi?
 
Namba 2 Kwa hiyo Sisi tusijali usalama wetu Ila tujali utendaji wao .....tutakuwa hatuna akili
 
Nilipitia mkataba wa Bandari vizuri, pamoja na changamoto kidogo nilizoona kutokana na uelewa wangu,
forcus yangu ilikuwa zaidi kwenye kupata faida na kukuza uchumi ambapo niliona umezingatia hivyo hayo mengine yote kwa sisi wa private sector sio kipaumbele cha kwanza;

1. Jambo la kushangaza ni kuwa mpaka sasa sijasikia mwananchi, mwanasiasa au hata Kiongozi wa dini anayepinga akitumia hoja muhimu kama ya kiuchumi kitu ambacho kinaonesha kuwa kunaweza kuwa na kitu kingine nje ya huu mkataba labda kwa maslahi yao binafsi (haingii akilini kabisa)

2. Nilisikia, mama mmoja niliyemuheshimu hasa kwa Kisomo chake akisema, mkataba wa DP world ulikataliwa kuendesha bandari huko marekani (New Jersey) ambapo ni kweli ila pamoja na Elimu yake kubwa hakusema kwa nini walikatatiliwa; Labda tu kwa kumsaidia; Bunge la Marekani lilikataa DP World wasipewe Bandari lakini walitoa sababu kuwa, Marekani haiwezi kuwapa Waarabu kuendesha Bandari zao kwa sababu za kiusalama (na sio kwa sababu ya uwezo wa Kuendesha bandari). Wote tunajua chuki binafsi iliyopo kati ya Wamarekani na waarabu - siwezi kuingilia hilo)

3. Kuna mfano hapa; Kampuni ya TICTS imeendesha Bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 tena kwa kuunga unga/kushikwa mkono na hata pale mkataba ulivyotaka kuvunjwa, Cha ajabu haijawahi kuwa tatizo hata kama faida ilikuwa haionekani.

Kampuni ya “Swissport” inaendesha Kiwanja cha Ndege cha Dar es Salaam kwa muda mrefu, Siwezi kuongelea kama ufanisi wake upo kiasi gani kwani sio mahala pake hapa.

Mbona hizi kelele hatukuzisikia TICTS & Swisport na wengine walipopewa mikataba?

4. Najua wengi mnaobisha mnajua kusoma; mnaweza kusearch DP world mkaijua vizuri kuwa ile ni Kampuni iliyopo mji wa Dubai na sio Nchi; hata hivyo hakuna Nchi inaitwa Dubai Duniani, ule ni mji tu kama mtu aseme Mwanza, Dodoma nk . Lakini pia, kutokana na ufanisi wake katika kuendesha bandari sasa hivi inafanya kazi za badari kwa Zaidi ya Nchi 40 Duniani zikiwemo Ulaya na Australia na Africa.

5. Nauliza tena; Kusudi kubwa la Uwekezaji ni kukuza Uchumi (namanisha kuongeza kipato/Faida, Ajira nk). Mbona hilo ndio muhimu kuliko yote lakini hamuliongelei wakati wa kupinga ili tujue kuwa tutapata faida au hasara au tutabakia hahapa tulipo?
Una taaluma ya SHERIA?

Tuanzie hapo.
 
Hujawaelewa wananchi wanataka nini?faida tunaitaka lakini kama mambo yamekaa vibaya kwenye mkataba kama ukomo,uvunjaji haupo hatuwezi kusema tuangalie ufanisi Tu no way Taifa zinapaswa kufaidika na vitu vingiwe viwe na ukomo
 
Nilipitia mkataba wa Bandari vizuri, pamoja na changamoto kidogo nilizoona kutokana na uelewa wangu,
forcus yangu ilikuwa zaidi kwenye kupata faida na kukuza uchumi ambapo niliona umezingatia hivyo hayo mengine yote kwa sisi wa private sector sio kipaumbele cha kwanza;

1. Jambo la kushangaza ni kuwa mpaka sasa sijasikia mwananchi, mwanasiasa au hata Kiongozi wa dini anayepinga akitumia hoja muhimu kama ya kiuchumi kitu ambacho kinaonesha kuwa kunaweza kuwa na kitu kingine nje ya huu mkataba labda kwa maslahi yao binafsi (haingii akilini kabisa)

2. Nilisikia, mama mmoja niliyemuheshimu hasa kwa Kisomo chake akisema, mkataba wa DP world ulikataliwa kuendesha bandari huko marekani (New Jersey) ambapo ni kweli ila pamoja na Elimu yake kubwa hakusema kwa nini walikatatiliwa; Labda tu kwa kumsaidia; Bunge la Marekani lilikataa DP World wasipewe Bandari lakini walitoa sababu kuwa, Marekani haiwezi kuwapa Waarabu kuendesha Bandari zao kwa sababu za kiusalama (na sio kwa sababu ya uwezo wa Kuendesha bandari). Wote tunajua chuki binafsi iliyopo kati ya Wamarekani na waarabu - siwezi kuingilia hilo)

3. Kuna mfano hapa; Kampuni ya TICTS imeendesha Bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 tena kwa kuunga unga/kushikwa mkono na hata pale mkataba ulivyotaka kuvunjwa, Cha ajabu haijawahi kuwa tatizo hata kama faida ilikuwa haionekani.

Kampuni ya “Swissport” inaendesha Kiwanja cha Ndege cha Dar es Salaam kwa muda mrefu, Siwezi kuongelea kama ufanisi wake upo kiasi gani kwani sio mahala pake hapa.

Mbona hizi kelele hatukuzisikia TICTS & Swisport na wengine walipopewa mikataba?

4. Najua wengi mnaobisha mnajua kusoma; mnaweza kusearch DP world mkaijua vizuri kuwa ile ni Kampuni iliyopo mji wa Dubai na sio Nchi; hata hivyo hakuna Nchi inaitwa Dubai Duniani, ule ni mji tu kama mtu aseme Mwanza, Dodoma nk . Lakini pia, kutokana na ufanisi wake katika kuendesha bandari sasa hivi inafanya kazi za badari kwa Zaidi ya Nchi 40 Duniani zikiwemo Ulaya na Australia na Africa.

5. Nauliza tena; Kusudi kubwa la Uwekezaji ni kukuza Uchumi (namanisha kuongeza kipato/Faida, Ajira nk). Mbona hilo ndio muhimu kuliko yote lakini hamuliongelei wakati wa kupinga ili tujue kuwa tutapata faida au hasara au tutabakia hahapa tulipo?
Kama focus unaandika forcus, utaona mapungufu? Macho huona kile ambacho ubongo hutambua.
 
Mikataba ya TICTS na SWISSPORTS haivunjiki? Haina ukomo? Tukitaka kuendeleza tunawaomba wao? Mikataba hiyo wajibu ni wa serikali ila haki za wawekezaji?

Hizo nchi 40 nao waliingia mikataba yenye vipengele kama hivi?

Watu hawamkatai mwekezaji, wanakataa masharti magumu

Pumbavu
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Huyu punguani hawezi kukujibu hapa
 
Nikajua kuna jipya kumbe ujinga ule ule tu.
 
Kama walikataliwa Marekani kwa sababu za kiusalama wewe unawakaribisha ?
 
Kumbe ndio maana biashara ya utumwa ilifanikiwa tukauzwa sokoni
 
Nilipitia mkataba wa Bandari vizuri, pamoja na changamoto kidogo nilizoona kutokana na uelewa wangu,
forcus yangu ilikuwa zaidi kwenye kupata faida na kukuza uchumi ambapo niliona umezingatia hivyo hayo mengine yote kwa sisi wa private sector sio kipaumbele cha kwanza;

1. Jambo la kushangaza ni kuwa mpaka sasa sijasikia mwananchi, mwanasiasa au hata Kiongozi wa dini anayepinga akitumia hoja muhimu kama ya kiuchumi kitu ambacho kinaonesha kuwa kunaweza kuwa na kitu kingine nje ya huu mkataba labda kwa maslahi yao binafsi (haingii akilini kabisa)

2. Nilisikia, mama mmoja niliyemuheshimu hasa kwa Kisomo chake akisema, mkataba wa DP world ulikataliwa kuendesha bandari huko marekani (New Jersey) ambapo ni kweli ila pamoja na Elimu yake kubwa hakusema kwa nini walikatatiliwa; Labda tu kwa kumsaidia; Bunge la Marekani lilikataa DP World wasipewe Bandari lakini walitoa sababu kuwa, Marekani haiwezi kuwapa Waarabu kuendesha Bandari zao kwa sababu za kiusalama (na sio kwa sababu ya uwezo wa Kuendesha bandari). Wote tunajua chuki binafsi iliyopo kati ya Wamarekani na waarabu - siwezi kuingilia hilo)

3. Kuna mfano hapa; Kampuni ya TICTS imeendesha Bandari ya Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 20 tena kwa kuunga unga/kushikwa mkono na hata pale mkataba ulivyotaka kuvunjwa, Cha ajabu haijawahi kuwa tatizo hata kama faida ilikuwa haionekani.

Kampuni ya “Swissport” inaendesha Kiwanja cha Ndege cha Dar es Salaam kwa muda mrefu, Siwezi kuongelea kama ufanisi wake upo kiasi gani kwani sio mahala pake hapa.

Mbona hizi kelele hatukuzisikia TICTS & Swisport na wengine walipopewa mikataba?

4. Najua wengi mnaobisha mnajua kusoma; mnaweza kusearch DP world mkaijua vizuri kuwa ile ni Kampuni iliyopo mji wa Dubai na sio Nchi; hata hivyo hakuna Nchi inaitwa Dubai Duniani, ule ni mji tu kama mtu aseme Mwanza, Dodoma nk . Lakini pia, kutokana na ufanisi wake katika kuendesha bandari sasa hivi inafanya kazi za badari kwa Zaidi ya Nchi 40 Duniani zikiwemo Ulaya na Australia na Africa.

5. Nauliza tena; Kusudi kubwa la Uwekezaji ni kukuza Uchumi (namanisha kuongeza kipato/Faida, Ajira nk). Mbona hilo ndio muhimu kuliko yote lakini hamuliongelei wakati wa kupinga ili tujue kuwa tutapata faida au hasara au tutabakia hahapa tulipo?

Kwamba unathubutu kudai Kuwa hujasikia hoja za kiuchumi?

Dk. Slaa: Mkataba wa DP World kama Taifa - Tumeuzwa!

Haina shaka wewe utakuwa kiziwi.
 
Mikataba ya TICTS na SWISSPORTS haivunjiki? Haina ukomo? Tukitaka kuendeleza tunawaomba wao? Mikataba hiyo wajibu ni wa serikali ila haki za wawekezaji?

Hizo nchi 40 nao waliingia mikataba yenye vipengele kama hivi?

Watu hawamkatai mwekezaji, wanakataa masharti magumu

Pumbavu
Leteni wa kwenu jmn
Hii nchi kweli inamtaka mtu kama Magu mana mkishirikishwa kiongozi haendi mbele

Mlibanwa p.umbu nchi nzima mkawa hamuongei kitu sasa mnajifanya kutaka kumshika kidevu Mama kisa ruksa kuongea
Samia mtakuja mkumbuka sanaa kama Kikwete
 
Back
Top Bottom