Kesho ni finally ya kampeni za Urais, hivyo ningependa kusikia hasa kutoka kwa Mh. Lissu na hata wagombea wengine wa upinza.
Kwanza ainishe changamoto chache zilizopo na hapo hapo namna gani atazitatua changamoto hizo. Takwimu zitaboresha speech
1. Sheria kandamizi: akiwa Rais no Sheria zipo zitabadilishwa au kutungwa kwa maslahi mapana ya wananchi. Ikiwa ni pamoja na Katiba mpya.
2. Ustawi wa Jamii: ni mikakati ili ataweza kuboresha ustawi wa jamii kwa ujumla hasa huduma mbali mbali Kama maji afya, elimu, n.k
3. Sera za uchumi: ni mambo gani atawafanyia watanzania kuboresha uchumi wa mtu mmmojamoja na Taifa kwa ujumla. Itapendeza Kama kutakuwa na takwimu pia
4. Mahusiano kimataifa; wapi tumekosea na Nini tufanye tuboreshe mahusiano yetu.
5. Umoja wa kitaifa: umoja wetu wa kitaifa umeyumba Sana Tena Sana. Rais ajaye atafanya nini kurudisha na hata kuboresha zaidi umoja wetu wa kitaifa.
6. Maswala ya uwazi na uwajibikaji wa viongozi na wafanyakazi wa umma. Kiongozi ajaye atafanya nini
7.Ulinzi nabusalama wa Raia: ni mambo gani kiongozi atafanya kukomesha mauaji holela ya raia, kubambikiziwa kesi, Kuna wafungwa wapo magerezani pasipo hatua etc
8. Sekta ya madini na gas: ni mambo gani atafanya kuongeza ushiriki wa wazawa kwenye kuendeleza na kuikuza hii sector has gas ambayo ilisimama kwa muda
9. Rushwa na matumizi mabaya ya fedha za umma.
Kubwa watuaambie tumeyumba wapi sababu ni ipi na solution ni ipi.
Hii utatusaidia wale wengine tulioshinwa kufuatilia kampeni kusikia sera kuzipima na kisha kufanya maamuzi sahihi jumatano