Kwenye mkutano wa leo na TFF

Hao akina mhindo msola na akina senzo ndo wakwenda kwenye hayo mambo mbona simba kaenda kimwaga
Wewe ni mjinga, Mwenyekiti wa Yanga ni Mshindo Msola, CEO ni Senzo.

Sijui hizi shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wewe ni mjinga, Mwenyekiti wa Yanga ni Mshindo Msola, CEO ni Senzo.

Sijui hizi shule mlienda kusomea ujinga?

Kwani yeye kauliza nani ni Mwenyekiti na nani ni CEO? Kwani uliowataja walikuwepo ktk huo mkutano?
 
Bro msukule akili huwa zimechotwa hawajui walifanyalo ni wakuhurumia tu
Kwani yeye kauliza nani ni Mwenyekiti na nani ni CEO? Kwani uliowataja walikuwepo ktk huo mkutano?
 
Out of topic


Hivi kwa nini hawauzi ticket za VIP A? nini kimetokea, wanasema kuna watu maalum wataalikwa, why? Sisi tunaotaka VIP A na hatujaalikwa inakuwaje
Inabidi uwaulize pia kwa nini una gari yako na umelia kodi zote lakini unasimamishwa saa nzima barabarani kusubili mtu mmoja apite kwanza?

Nakukumbusha tu hata malaika mbinguni hawako sawa, na hata wacha Mungu mbinguni hawatakuwa na daraja sawa.

Usitafute usawa dunia unajiumiza nafsi yako bure.
 
lakini pia kocha ni Nabi, lakini Msukule alikuwa ndio mtoa maelekezo ya kiufundi na kiutawala kule Nigeria

View attachment 1947883

View attachment 1947884
Ndugu yetu aliyetuasi anatumia nguvu nyingi sana hadi kuwa mhamasishaji wa wachezaji ndani ya uwanja ili approve kuwa yeye ndio sehemu ya ushindi wa Simba.

Kumbe ubora wa timu ndio unavuta ushindi na mashabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…