Kwenye Msiba Dume Zima na Hereni...!!

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
3,590
Reaction score
3,632
Imenisikitisha sana, kijana anajiita Bill Nas (Bill Nenga) Sijui hata jina lake halisi.

Bila haya wala hiyana Katinga Kanzu na Hereni juu..

Nimeshindwa kumuelewa..!!
 
Hizo sio heleni dingoo,izo ni pillet,Jina lake halisi anaitwa Willium mwenyeji wa Kilimanjaro na Mbeya
 
Ninavyo fahamu mimi Pillet ni neno la Kiingereza lenye maana ya Mto...
Hizo sio heleni dingoo,izo ni pillet,Jina lake halisi anaitwa Willium mwenyeji wa Kilimanjaro na Mbeya
 
Mkuu ndo madhara ya kukaa sana vijijini ,hayo no maisha binafsi hata wewe Kuna tabia unazo wengine hatuzitaki,hivyo mjini tunaheshimiana Kama hupendi kiduku usinyoe ww mkeo na wanao,wengine ongea nao kibiashara ,mjini kutafuta hela tu,Kama we shoga na unahela ya kununua bidhaa zangu maisha yako hayanihusu anaenihusu ni wanangu tu
 
good reply mjasiriamali mwenzangu, wewe ni mjasiriamali by nature
 
Imenisikitisha sana, kijana anajiita Bill Nas (Bill Nenga) Sijui hata jina lake halisi.

Bila haya wala hiyana Katinga Kanzu na Hereni juu..

Nimeshindwa kumuelewa..!!View attachment 1089842
ndio waislamu wa kisasa tulivyo, wenzetu wkristo wanakutenga kanisani moaka utubu.

angalia huyu amber rutty kaliwa nyuma na anaenda msikitini, angalia daimond anazaa na kila mwanamke na kila mwanamke anayeimba kwenye au kucheza show yake lazma amle ila mashehe wanamwacha tu, angalia wasanii wote hwa.


huyu bill nas hana kosa ukilinganisha na wanaokulana nyuma alafu mnawashabikia
 
Mkuu acha kuwaombea watu mabaya, hii roho ya kichawi sijui umeirithi kwa nani? Mbona una chuki kupitiliza?
wanaumwe wa mikoani wana wivu sana, saa hizi wapo kwenye palizi ya ufuta huko wanachonga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…