Now this is contructive ....
Mwanaume sampuli ya dar
Nawapendaga sana walio na hereniImenisikitisha sana, kijana anajiita Bill Nas (Bill Nenga) Sijui hata jina lake halisi.
Bila haya wala hiyana Katinga Kanzu na Hereni juu..
Nimeshindwa kumuelewa..!!View attachment 1089842
Nashanga hakuna mtu mwema dunianiWamebeba imani zao za kidini na kuwajaji watu na maisha yao.