Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Habari wana jukwaa!
Nimefuatilia kwa karibu mzozo wa Ukraine, Kauli na Vitendo vya Rais wa Ukraine Zelesnky, Kauli na Vitendo Vya US, UK na NATO na NATO kwa ujumla. Nimejiridhisha pasina shaka kulikuwa na maandalizi ya muda mrefu kumaliza kazi ya kutengeneza "unipole" world.
Inaoekana baada ya kusambaratika kwa USSR mwanzoni mwa miaka ya 90, US na West hawakuridhika na hilo, lengo kuu ni kuiona Russia iliyomeguka kwenye vipannde vidogo vidogo visivyo na nguvu na vyenye kunyenyekea West. Hapa utapata sababu pekee kwa nini NATO iliendelea kubkishwa na kupanualiwa wakati adui yake mkuu "Amefariki'?
Inaonekana pia Zelensky ametengenezwa kimkakati kwa ajili moja tu kuu, kuanzisha WWIII ndio maana tangu mwanzo mpaka sasa bado anawaita NATO waje kuingilia mzozo wake. Kuna siku kama WWIII isipokuwepo na Zelensky kuondoka madarakani, atakuja kuusema ukweli huu. Ushahidi ni kuwa Zelensky lich ya kupigwa hataki mazungumzo na wala hajali hasara na maisha ya wa Ukraine. Ili maradi ameshachukua chake mapema!
Kitendo Cha UK kusaini mikataba ya kuilinda Finland na Sweden ni kuharakisha WWIII au kupata front nyingine ya kuanzishia WWIII
Inaonekana Russia walilijua hili tangu mwisho wa mwaka jana wakaona wafanye "pre-emptive" strike. Kimsingi Russia aliwawahi West kabla y muda uliopangwa. Hii ilipaswa kuanza na shambulizi kubwa la Ukraine dhidi ya Waasi wa DONBASS!
Sina hakika kama Russia itaweza kuhimili mipango hii, lakini njia pekee ya kuepusha full WWIII ni Russia ashindwe na asambaratike tena vipande vidogo vidogo au itawaliwe!
Haya ni mawazo yangu tu!