Kwenye nafasi ya HIST/GEOG au ICT

Kwenye nafasi ya HIST/GEOG au ICT

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
313
Reaction score
40
Natafuta shule au chuo binafsi chenye upungufu wa wataalamu kwenye hayo masomo.nina BED Arts ya SAUT via MWENGE.Overal GPA ni 3.7,wasiliana na mm kwenye 0764 620855.
 
Mmeamua kutafutia kazi Jf siyo? Anzisheni hata ujasilia mali hata wa vijiwe vya kahawa muwaelimishe wazee wa vijijini waache kuyachagua magamba ili wasomi mfaidi raslimali zenu.
Kuna ka nurseryskul kanaanzishwa wana program ya kufundisha Ict kwa watoto nitakuunganisha.
 
Natafuta shule au chuo binafsi chenye upungufu wa wataalamu kwenye hayo masomo.nina BED Arts ya SAUT via MWENGE.Overal GPA ni 3.7,wasiliana na mm kwenye 0764 620855.

Mr Mayunga, long time!! Vipi ile program ya Ashley?
 
Fungua tuisheni senta. Itakupa pesa za vocha.
 
we acha kujitangazia kitu husichonacho. wenye sifa hizo wapo kazini wanachapa kazi. nadhani wewe ni mvivu unachagua kazi
wakati hauna hela!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom