Kwenye Quran inapotosha kusema ilishushwa kutoka mbinguni wakati kilichokwenda kuchukuliwa ni amri kumi tena kwa mawe

Kwenye Quran inapotosha kusema ilishushwa kutoka mbinguni wakati kilichokwenda kuchukuliwa ni amri kumi tena kwa mawe

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Leo nimeona mijadala fulani ila ilikua inajenga maelezo kuhusu vitabu vyote viwili biblia na Quran, ukiangalia vitabu vyote vimeeleza matukio na historia na wala sio yaliyoshushwa kama wasemavyo.

Sababu inayokazaniwa ni kwamba Mungu kuona adhabu kila akizitioa aliona bora kuandika amri kumi tu na kumpa Musa ili watumie.

Sasa wanaosema kilishushwa ina maana kilikuja full package kaandika mpaka historia za watu? Wakati historia zinaonekana ziliandikwa na binadamu wakipeana vizazi na vizazi.

Hata wanayosema ukirudi nyuma malaika waliokuja hapa duniani walitoa mafunzo ya vitendo sio walikuja na makaratasi.
 
Back
Top Bottom