4 chambers of heart ni vyumba vya moyo,, Kwa kawaida moyo una vyumba vinne, viwili kushoto viwili kulia,,kisayansi vinaitwa "right and left heart ventricles" ambapo kazi yake kubwa ni kupokea damu kutoka sehemu mbalimbali za mwili "non oxygenated blood" na kusukuma damu kutoka katika moyo ambayo iko 'oxygenated' kutoka katika mapafu
Right heart ventricles ndiyo hupokea damu isiyo na oxygen then huenda katika mapafu kupitia mrija wa damu uitwao 'pulmonary artery' then kutoka katika mapafu damu hupitia mrija mwingine uitwao "pulmonary vein" kuingia left ventricle of the heart,, then damu huingia mrija mkubwa uitwao aorta, ambapo damu husafirishwa kwenda sehemu mbalimbali za mwili
Kawaida left ventricle huwa na upana mkubwa ukilinganisha na right ventricle, kwa sababu kazi kubwa ya kusukuma damu hufanywa na left ventricle,, hiyo ndiyo maana ya 4 chambers of the heart,, asante