Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Wakuu wife anataka afungue saluni ya kike ila mimi au yeye hakuna anayejua chochote kile hasa juu ya ni vifaa gani viahitajika.
Mtaji anao ni wa milioni moja tu vipi unatosha kwa hiyo kazi? saluni kwa hyo hela anataka tu saluni ya kawaida kabisa na sio zile za mamilioni.
Je kwa hyo hela anaweza akaanzisha hiyo kitu? na ni vitu gani vya lazima viwepo?