Kwenye saluni ya kike ni vitu gani inatakiwa viwepo?

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wakuu wife anataka afungue saluni ya kike ila mimi au yeye hakuna anayejua chochote kile hasa juu ya ni vifaa gani viahitajika.

Mtaji anao ni wa milioni moja tu vipi unatosha kwa hiyo kazi? saluni kwa hyo hela anataka tu saluni ya kawaida kabisa na sio zile za mamilioni.

Je kwa hyo hela anaweza akaanzisha hiyo kitu? na ni vitu gani vya lazima viwepo?
 
kwanza anatakiwa apate eneo ambalo lipo sehemu ya wazi na watu wengi wanapita, vitu vya lazima ni kama rollers, drier,stimmer, mafuta ya nywele, dawa za nywele, vitana, shampoo, stiming, na vyombo kama ndoo, jaba na dishi
 
Kwa huo mtaji unafaa kama kodi ya flemu iko nje ya hapo.
 
Naomba ujibu kwanza hiyo pesa ndio anategemea kulipa frem? je maeneo anayotaka kufungua kodi sh ngapi kwa makadirio? jibu ndio tuendelee na ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…