Huku mwishoni hata mimi sikupenda namna ilivyoishia. Ni kama walikuwa wanaanza kumdhoofu main character (James St. Patrick).
Imagine lile toto lake (Tariq) fala fala moja, lilikuwa linafanya mambo ya kibwege sana kumtia baba yake majangani. Na mwanamke wake (Tasha) akaamua ghafla kuwa against na mumewe kiasi kwamba akawa anamjaza dogo ujinga.
Toto jinga sana lile. Nilipoona hii Mpya ya Book 2 nikaona kenyewe ndio kamekuwa main character hata mzuka wa kuitazama ukakata.
Dogo mzinguaji sana yule. Na nadhani watu wengi hajaichangamkia hii ya sababu the center of attention yaani Ghost na Tommy walishagombana na kutengana matokeo yake lile vibe la series likafa.