Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Simba mnatia huruma sana.
Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu!
Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani kuwashangilia.
Mbona mnapokwenda Iringa kucheza na Lipuli hamshangai kuona Wana Iringa wakiwageuka wenzao na kuwa upande wenu?