Kwenye soka tunapoongelea vilabu utaifa hauhusiki. Mutuache wanayanga tuwashabikie Plateau.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Simba mnatia huruma sana.
Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu!
Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani kuwashangilia.
Mbona mnapokwenda Iringa kucheza na Lipuli hamshangai kuona Wana Iringa wakiwageuka wenzao na kuwa upande wenu?
 
Ulaya kule kama timu haiwahusu hawaendi uwanjani wanabaki kwenye kumbi za starehe wanakunywa pombe. Sisi wabongo kiwanjani tunaenda
 
Ulaya kule kama timu haiwahusu hawaendi uwanjani wanabaki kwenye kumbi za starehe wanakunywa pombe. Sisi wabongo kiwanjani tunaenda
Timu za ulaya Zina viwanja vyao club inaamua. Nyie mnachezea viwanja vya umma kila mtu ana haki kwenda taifa
 
Hivi hizi games Nyimbo za Taifa hazipigwi??
 
Mtushangilie msitushashagilie HAMPUNGUZI WALA HAMUONGEZI
 
Tatizo la hizi timu mbili zina mashabiki wengi kuliko wana michezo, hilo linajulikana
 
Sasa ndiyo muwaibie simu zao,hamna maana hata kidogo
 

Msisahau kuwasindikiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…