Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Ukiwa na hela, hapa naongelea utajiri na hukuwa na mwanamke kabla ni bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya Diamond na ukaendelea kuishi peke yako sababu utapendewa pesa na wanawake.
Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti unapoanza. Kwa alichokifanya Diamond ndiyo uhalisia japokuwa jamii inapinga.
Mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako, atatafuta mwanaume moyo wake unayempenda, hapo ndiyo usaliti unapoanza. Kwa alichokifanya Diamond ndiyo uhalisia japokuwa jamii inapinga.