Ukiwa na hela hapa naongelea utajiri na hukua na mwanamke kabla ni Bora ukazalisha mwanamke kama alivyofanya diamond na ukaendelea kuishi single sababu utapendewa pesa na wanawake
mwanamke akipata uhakika wa pesa kutoka kwako atatafuta mwanaume moyo wake unayempendaye hapo ndo usaliti unapoanza, kwa alichokifanya diamond ndo uhalisia japokua jamii inapinga