Kwenye suala la Wamachinga, Rais Samia umevunja ahadi na umewasaliti Wamachinga

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Mheshimiwa rais,

Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza.

1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa
Mheshimuwa rais, huwezi kujifanya hujui suala la wamachinga toka mwaka 2015 mlipochaguliwa wewe na hayati Magufuli kuingia madarakani, unajua mlichukua hatua gani katika suala hili la wamachinga, na upo ushahidi wa video Mheshimiwa Hayati Magufuli akitoa maagizo kwako na Mheshimuwa Jaffo kutowaondoa wamachinga mpaka muwe mmewapatia maeneo mengine ya biashara. Na katika video hiyo, umesikika ukikubaliana na raisi Magufuli ukisema kuwa "hizo ndo ajira zenyewe hizo"

Sasa mheshimiwa rais naomba kukuuliza maswali yafuatayo:

a) Kipi ulichokubaliana na rais Magufuli wakati huo ukiwa makamu wake ambacho leo unadhani wakati huo mlikosea?
b) Je, hayo mazingira mazuri na mbadala ya wamachinga kufanya shughuli zao wewe kama raisi umejiridhisha kuwa mamlaka za chini zimeyaandaa?

2. Mheshimiwa rais kumbuka mlitunga sheria ya wamachinga kulipa 20000 kwa mwaka ili wafanye biashara zao wasibughudhiwe
Je, mheshimiwa rais, hii sheria mmeifuta lini?, na je mtawarudishia lini pesa zao?

3. Mheshimiwa rais, umevunja ahadi ya kampeni iliyowapeni kura
Mheshimiwa rais, ahadi ya muungwana anapoahidi jambo hutekeleza. Wewe na rais Magufuli mlizunguuka sehemu kubwa ya nchi hii kuomba kura, na mliwaahidi wamachinga kutowabughudhi, na mkasema wakilipa elfu ishirini zao watafanya biashara zao bila kubughudhiwa. Leo hii Wamachinga sehemu zao zinavamiwa usiku, watu wsnavunja mali zao, nyingine zinachukuliwa, Hii mheshimiwa rais unaiona ni sawasawa?

Unaona ni sawasawa uonevu mkubwa kabisa na dhulma kubwa wanayofanyiwa hawa wananchi wa Jsmhuri ya Muungano wa Tanzania?. Ukweli wa ahadi yenu wa kampeni uko wapi? Tuseme basi mmeamua bila soni kuvunja ahadi yenu ya kampeni. Je, mmeshindwa kulifanya hili zoezi kwa uso wa utu?

4. Hili zoezi linawatia wananchi umasikini zaidi na linatweza utu wao
Hawa wamachinga ni watu wanaopata ajira zao halali kwa kujituma, ni watu wanaolisha familia zao kwa kazi hizihizi ambazo baadhi ya watu wanaziita "kuchafua miji", kwa nini angalau tusiheshimu hilo?

Mheshimiwa rais wewe unajua shida ya ajira katika nchi hii, leo hii hili jeshi la vijana lisilo na ajira utalipeleka wapi kama hata jitihada zao za kujitafutia riziki badala ya kuzipangia utaratibu mzuri sisi tunaona tufukuzefukuze, tubomoebomoe tu, Tunaipeleka nchi wapi kwa aina ya maamuzi kama haya?

5. Mheshimiwa rais, lawama zote zinakushukia wewe, THE BUCK STOPS WITH YOU
Mheshimiwa rais, hili zogo, unyanyasaji na uendeshaji wa zoezi lisilozingatia utu, lawama zinakuangia wewe mheshimiwa rais. Ulikuwa na nguvu za kimaamuzi na kibajeti za kuamuru hili zoezi lizingatie haki zotw za binadamu na sheria na taratibu na busara lakini unawaacha wasaidizi wako wafanye uharibifu wa mali wa hawa wananchi wa kipato cha chini. Mheshimiwa Rais Tunataka uzuie zoezi hili mara moja mpaka utaratibu mzuri uwekwe! Leo hii wanaamka watu wanavunja msli za wananchi usiku wa manane, na wewe ndiye rais unaawacha wafanye udhalimu huu maana yake nini?

6. Mheshimiwa rais, kukitokea uvunjifu wa amani, sababu ya zoezi hili wewe na chama chako cha Mapinduzi mtabeba lawama zote
Hawa wanachinga mliwageuza mtaji wa kura, mkawaahidi ahadi ambayo leo hii mnawageuka, sasa kama kukitokea uvunjifu wa amani kwa nini wewe na CCM msibebe lawama.

Mheshimiwa rais huwezi kujitoa, na kujitenga na maamuzi ya rais Magufuli katika hili suala, wewe ulikuwa ni. msaidizi wake mkuu na mgombea mwenza. Kura za Magufuli ni kura zako, Ahadi za Magufuli ni zako. Ile ilikuwa ni serikali yenu, huwezi kukwepa hili. Tueleze sisi wananchi leo kunani unakwenda nyuzi 180 tofauti katika hili suala?

7. Mheshimiwa rais, pamoja na sheria lakini nchi hii inapaswa iongozwe kwa Busara, hekima, mila nzuri na tamaduni nzuri za Mtanzania
Watanzania tulishakataa masuala ya ukandamizaji wa wananchi, Watanzania tulishasema kuwa sheria ni zetu lakini sisi hatumilikiwi na sheria hususan linapokuja suala la masilahi mapana ya wananchi. Ndiyo masna kwa mujibu wa sheria za usafiri kusimamisha watu kwenye vyombo vya usafiri vya umma haikubaliki, lakini mazingira yetu ya hali halisi yanapelekea hivyo. Ni kinyume cha sheria ndiyo lakini tunafumba macho. Sasa leo hii linapokuja suala kuhusu kula na Shibe ya watu, tunakwenda tu kutumia miguvu bila kujali social economic situation ya watu wetu?

Na kama mnasema eti mnadimamia sheria, kwani sheria ngapi mnazivunja kila siku?, Vifungu vingapi mnavivunja kila siku? —Leo hii mnavizuia vyama vya siada kufanya shughuli zao halali za kisiasa kinyume cha sheria na katiba lakini sijawahi kuona mkijutia leo, sasa eti ndo mje mtwambie kuwa mko serious na sheria za mipango miji linapokuja suala la wamachinga, Hizo sheria nyingine je mnataka kutwambia kuwa hamzioni?

Mheshimwa rais onyesha Leadership katika hili suala la wamachinga yanayoendelea nchini si sawa na hayakubaliki!

Tazama hii video usikie jinsi zoezi hili linavyoendeshwa kinyama

Huyu alipopewa madaraka kwa njia katiba tu.Kuna kikundi cha watu ,ambao wanaamini wataishi milele.Na ambao wamekuwa wanamtukana Marehemu Magufuli kwa kutumia viredio uchwara.

Wanaamini kuwa kuwafukuza wamachinga,ni kuharibu mambo ya JPM. Tatizo sio wamachinga, tatizo ni JPM.
 
Huyu alipopewa madaraka kwa njia katiba tu.Kuna kikundi cha watu ,ambao wanaamini wataishi milele.Na ambao wamekuwa wanamtukana Marehemu Magufuli kwa kutumia viredio uchwara.Wanaamini kuwa kuwafukuza wamachinga,ni kuharibu mambo ya JPM.Tatizo sio wamachinga ,tatizo ni JPM.
Watu wanaofanya maamuzi ktk. nchi hii wanafanya utadhani wao hawajakulia ktk. nchi hii kujua umasikini, shida ya ajira ya watu wao n. k
It is very painful!
 
Kama maudhui ya video hii ni sahihi, basi mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Wilaya ya Kigamboni anapaswa kufutwa kazi mara moja na kushtakiwa kwa kutumia madaraka vibaya. Hizi sio hekima alizosema Mhe. Rais. Bado inafikirisha why bongo za watendaji wengi huko serikalini zimelala.

Utaratibu mzuri ulipaswa ufuatwe na ilibidi kwa kila mtaa kabla ya tarehe ya mwisho zingekusanywa details za wenye vibanda; majina yao, namba za simu nk ili wakati wa utekelezaji wa zoezi BAADA YA DEADLINE, wahusika wajulishwe Ili wapate fursa ya kuondoa vitu vyao. Infact, haikutakiwa ipotee hata pipi ya machinga katika utekelezaji wa zoezi hilo.
 
Huyu alipopewa madaraka kwa njia katiba tu.Kuna kikundi cha watu ,ambao wanaamini wataishi milele.Na ambao wamekuwa wanamtukana Marehemu Magufuli kwa kutumia viredio uchwara.Wanaamini kuwa kuwafukuza wamachinga,ni kuharibu mambo ya JPM.Tatizo sio wamachinga ,tatizo ni JPM.
inasikitisha mno
 
1. Una hakika gani kama walikaa wote na Magufuli wakapanga hayo?

- Magufuli alikuwa mbabe asiefuata sheria wala ushauri wa mtu, ndio maana ilisemekana hata mama kuna wakati alitaka kuikimbia ofisi ya VP mpaka pale aliposhauriwa na wastaafu ndio akaamua kubaki.

2. Ahadi za kampeni?

- Hawakushinda kwa kura, kila mtu anajua kazi iliyofanywa kwa kutumia yale mabegi meusi, na kina Mahera.

3. Zoezi linawatia wananchi umaskini?

- Kama taifa tumekuwa tukipigana na maadui watatu, ujinga, umasikini, na maradhi toka tupate uhuru, kwasasa umasikini ni asili yetu kama ilivyo ngozi nyeusi.

4. Kukitokea uvunjifu wa amani?

- Hauwezi kutokea, watanzania kwa asili yetu ni makondoo, kama tunachezewa akili kwenye uchaguzi kama taifa na wote tunabaki kimya, hilo kundi la machinga peke yao haliwezi fanya chochote (hakuna organisation).

5. Unapigia debe sheria kuvunjwa ili kuwaacha wamachinga barabarani!, tena unasisitiza sheria nyingi zimeshavunjwa kama ile PGO inayomfanya Mbowe kuendelea kukaa jela mpaka leo (yani huku unaacha kule unalaani) wacha biashara yako; uvunjifu wowote wa sheria kwa taifa letu bila kujali unamuhusisha nani lazima ulaaniwe vikali.

Taifa lazima liongozwe kwa sheria sio busara, kufanya hivyo ni sawa na kucheza kamari.
 
1635578967882.png
 
1. Una hakika gani kama walikaa wote na Magufuli wakapanga hayo?

2. Ahadi za kampeni?

Hawakushinda kwa kura, kila mtu anajua kazi iliyofanywa kwa kutumia yale mabegi meusi, na kina Mahera.

3. Zoezi linawatia wananchi umaskini?

Kama taifa tumekuwa tukipigana na maadui watatu, ujinga, umasikini, na maradhi toka tupate uhuru, kwasasa umasikini ni asili yetu kama ilivyo ngozi nyeusi.

4. Kukitokea uvunjifu wa amani?

Hauwezi kutokea, watanzania kwa asili yetu ni makondoo, kama tunachezewa akili kwenye uchaguzi kama taifa na wote tunabaki kimya, hilo kundi la machinga peke yao haliwezi fanya chochote (hakuna organisation).

5. Unapigia debe sheria kuvunjwa ili kuwaacha wamachinga barabarani!, tena unasisitiza sheria nyingi zimeshavunjwa kama ile PGO inayomfanya Mbowe kuendelea kukaa jela mpaka leo (yani huku unaacha kule unalaani) wacha biashara yako; uvunjifu wowote wa sheria kwa taifa letu bila kujali unamuhusisha nani lazima ulaaniwe vikali.

Taifa lazima liongozwe kwa sheria sio busara, kufanya hivyo ni sawa na kucheza kamari.
Ni makondoo kwenye ishu zisizogusa tumbo lao moja kwa moja lakini yale ya kugusa ugali wao ni hatari. Ndiyo maana walijaribu kumoindua Nyerere mara nane sababu alisababisha maisha yawakawa magumu sana
 
UKIE
Mheshimiwa rais,

Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza.

1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa
Mheshimuwa rais, huwezi kujifanya hujui suala la wamachinga toka mwaka 2015 mlipochaguliwa wewe na hayati Magufuli kuingia madarakani, unajua mlichukua hatua gani katika suala hili la wamachinga, na upo ushahidi wa video Mheshimiwa Hayati Magufuli akitoa maagizo kwako na Mheshimuwa Jaffo kutowaondoa wamachinga mpaka muwe mmewapatia maeneo mengine ya biashara. Na katika video hiyo, umesikika ukikubaliana na raisi Magufuli ukisema kuwa "hizo ndo ajira zenyewe hizo"

Sasa mheshimiwa rais naomba kukuuliza maswali yafuatayo:

a) Kipi ulichokubaliana na rais Magufuli wakati huo ukiwa makamu wake ambacho leo unadhani wakati huo mlikosea?
b) Je, hayo mazingira mazuri na mbadala ya wamachinga kufanya shughuli zao wewe kama raisi umejiridhisha kuwa mamlaka za chini zimeyaandaa?

2. Mheshimiwa rais kumbuka mlitunga sheria ya wamachinga kulipa 20000 kwa mwaka ili wafanye biashara zao wasibughudhiwe
Je, mheshimiwa rais, hii sheria mmeifuta lini?, na je mtawarudishia lini pesa zao?

3. Mheshimiwa rais, umevunja ahadi ya kampeni iliyowapeni kura
Mheshimiwa rais, ahadi ya muungwana anapoahidi jambo hutekeleza. Wewe na rais Magufuli mlizunguuka sehemu kubwa ya nchi hii kuomba kura, na mliwaahidi wamachinga kutowabughudi, na mkasema wakilipa elfu ishirini zao watafanya biashara zao bila kubughudhiwa. Leo hii Wamachinga sehemu zao zinavamiwa usiku, watu wsnavunja mali zao, nyingine zinachukuliwa, Hii mheshimiwa rais unaiona ni sawasawa?

Unaona ni sawasawa uonevu mkubwa kabisa na dhulma kubwa wanayofanyiwa hawa wananchi wa Jsmhuri ya Muungano wa Tanzania?. Ukweli wa ahadi yenu wa kampeni uko wapi? Tuseme basi mmeamua bila soni kuvunja ahadi yenu ya kampeni. Je, mmeshindwa kulifanya hili zoezi kwa uso wa utu?

4. Hili zoezi linawatia wananchi umasikini zaidi na linatweza utu wao
Hawa wamachinga ni watu wanaopata ajira zao halali kwa kujituma, ni watu wanaolisha familia zao kwa kazi hizihizi ambazo baadhi ya watu wanaziita "kuchafua miji", kwa nini angalau tusiheshimu hilo?

Mheshimiwa rais wewe unajua shida ya ajira katika nchi hii, leo hii hili jeshi la vijana lisilo na ajira utalipeleka wapi kama hata jitihada zao za kujitafutia riziki badala ya kuzipangia utaratibu mzuri sisi tunaona tufukuzefukuze, tubomoebomoe tu, Tunaipeleka nchi wapi kwa aina ya maamuzi kama haya?

5. Mheshimiwa rais, lawama zote zinakushukia wewe, THE BUCK STOPS WITH YOU
Mheshimiwa rais, hili zogo, unyanyasaji na uendeshaji wa zoezi lisilozingatia utu, lawama zibakuangia wewe mhedhimiwa rais. Ulikuwa na nguvu za kimaamuzi na kibajeti za kuamuru hili zoezi lizingatie haki zotw za binadamu na sheria na taratibu na busara lakini unawaacha wasaidizi wako wafanye uharibifu wa mali wa hawa wananchi wa kipato cha chini. Mheshimiwa Rais Tunataka uzuie zoezi hili mara moja mpaka utaratibu mzuri uwekwe! Leo hii wanaamka watu wanavunja msli za wananchi usiku wa manane, na wewe ndiye rais unaawacha wafanye udhalimu huu maana yake nini?

6. Mheshimiwa rais, kukitokea uvunjifu wa amani, sababu ya zoezi hili wewe na chama chako cha Mapinduzi mtabeba lawama zote
Hawa wanachinga mliwageuza mtaji wa kura, mkawaahidi ahadi ambayo leo hii mnawageuka, sasa kama kukitokea uvunjifu wa amani kwa nini wewe na CCM msibebe lawama.

Mheshimiwa rais huwezi kujitoa, na kujitenga na maamuzi ya rais Magufuli katika hili suala, wewe ulikuwa ni. msaidizi wake mkuu na mgombea mwenza. Kura za Magufuli ni kura zako, Ahadi za Magufuli ni zako. Ile ilikuwa ni serikali yenu, huwezi kukwepa hili. Tueleze sisi wananchi leo kunani unakwenda nyuzi 180 tofauti katika hili suala?

7. Mheshimiwa rais, pamoja na sheria lakini nchi hii inapaswa iongozwe kwa Busara, hekima, mila nzuri na tamaduni nzuri za Mtanzania
Watanzania tulishakataa masuala ya ukandamizaji wa wananchi, Watanzania tulishasema kuwa sheria ni zetu lakini sisi hatumilikiwi na sheria hususan linapokuja suala la masilahi mapana ya wananchi. Ndiyo masna kwa mujibu wa sheria za usafiri kusimamisha watu kwenye vyombo vya usafiri vya umma haikubaliki, lakini mazingira yetu ya hali halisi yanapelekea hivyo. Ni kinyume cha sheria ndiyo lakini tunafumba macho. Sasa leo hii linapokuja suala kuhusu kula na Shibe ya watu, tunakwenda tu kutumia miguvu bila kujali social economic situation ya watu wetu?

Na kama mnasema eti mnadimamia sheria, kwani sheria ngapi mnazivunja kila siku?, Vifungu vingapi mnavivunja kila siku? —Leo hii mnavizuia vyama vya siada kufanya shughuli zao halali za kisiasa kinyume cha sheria na katiba lakini sijawahi kuona mkijutia leo, sasa eti ndo mje mtwambie kuwa mko serious na sheria za mipango miji linapokuja suala la wamachinga, Hizo sheria nyingine je mnataka kutwambia kuwa hamzioni?

Mheshimwa rais onyesha Leadership katika hili suala la wamachinga yanayoendelea nchini si sawa na hayakubaliki!

Tazama hii video usikie jinsi zoezi hili linavyoendeshwa kinyama

View attachment 1991704
UKIELEWA DHANA HII UTAMWELEWA RAIS SAMIA

CCM sio wa kuaminiwa hata kidogo.
 
Huu ni ufala, zoezi limeenda kistaarabu, miji imekuwa safi na hii ni awamu yake usihusishe na awamu iliyopita
 
Zoezi linafanyika kihuni:

1. Deadline ambayo wamachinga walipewa haikufika wakaanza kuvunjiwa

2. Hakuna maeneo mbadala ya kutosha waliyopewa wamachinga

3. Mali za wamachinga zimekuwa zikichukuliwa na wavunjaji bika haki, huu ni uporaji

4. Maeneo mengi hakuna taarifa zozote za wamachinga zimekuwa zikichukuliwa ili kila mmoja apangiwe eneo lake

5. Wavunjaji wamekuwa wakija usiku kama majambazi ili kutekeleza zoezi haramu. Hawaji na barua za mamlaka, zenye kunukuu vifungu vya sheria vyenye kuonyesha wapi wamepata mamlaka ya kuvunja mali za watu
 
Mheshimiwa rais,

Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao nitaeleza.

1. Serikali yenu wewe na Hayati Magufuli mliwatengenezea wamachinga utaratibu wa sasa
Mheshimuwa rais, huwezi kujifanya hujui suala la wamachinga toka mwaka 2015 mlipochaguliwa wewe na hayati Magufuli kuingia madarakani, unajua mlichukua hatua gani katika suala hili la wamachinga, na upo ushahidi wa video Mheshimiwa Hayati Magufuli akitoa maagizo kwako na Mheshimuwa Jaffo kutowaondoa wamachinga mpaka muwe mmewapatia maeneo mengine ya biashara. Na katika video hiyo, umesikika ukikubaliana na raisi Magufuli ukisema kuwa "hizo ndo ajira zenyewe hizo"

Sasa mheshimiwa rais naomba kukuuliza maswali yafuatayo:

a) Kipi ulichokubaliana na rais Magufuli wakati huo ukiwa makamu wake ambacho leo unadhani wakati huo mlikosea?
b) Je, hayo mazingira mazuri na mbadala ya wamachinga kufanya shughuli zao wewe kama raisi umejiridhisha kuwa mamlaka za chini zimeyaandaa?

2. Mheshimiwa rais kumbuka mlitunga sheria ya wamachinga kulipa 20000 kwa mwaka ili wafanye biashara zao wasibughudhiwe
Je, mheshimiwa rais, hii sheria mmeifuta lini?, na je mtawarudishia lini pesa zao?

3. Mheshimiwa rais, umevunja ahadi ya kampeni iliyowapeni kura
Mheshimiwa rais, ahadi ya muungwana anapoahidi jambo hutekeleza. Wewe na rais Magufuli mlizunguuka sehemu kubwa ya nchi hii kuomba kura, na mliwaahidi wamachinga kutowabughudi, na mkasema wakilipa elfu ishirini zao watafanya biashara zao bila kubughudhiwa. Leo hii Wamachinga sehemu zao zinavamiwa usiku, watu wsnavunja mali zao, nyingine zinachukuliwa, Hii mheshimiwa rais unaiona ni sawasawa?

Unaona ni sawasawa uonevu mkubwa kabisa na dhulma kubwa wanayofanyiwa hawa wananchi wa Jsmhuri ya Muungano wa Tanzania?. Ukweli wa ahadi yenu wa kampeni uko wapi? Tuseme basi mmeamua bila soni kuvunja ahadi yenu ya kampeni. Je, mmeshindwa kulifanya hili zoezi kwa uso wa utu?

4. Hili zoezi linawatia wananchi umasikini zaidi na linatweza utu wao
Hawa wamachinga ni watu wanaopata ajira zao halali kwa kujituma, ni watu wanaolisha familia zao kwa kazi hizihizi ambazo baadhi ya watu wanaziita "kuchafua miji", kwa nini angalau tusiheshimu hilo?

Mheshimiwa rais wewe unajua shida ya ajira katika nchi hii, leo hii hili jeshi la vijana lisilo na ajira utalipeleka wapi kama hata jitihada zao za kujitafutia riziki badala ya kuzipangia utaratibu mzuri sisi tunaona tufukuzefukuze, tubomoebomoe tu, Tunaipeleka nchi wapi kwa aina ya maamuzi kama haya?

5. Mheshimiwa rais, lawama zote zinakushukia wewe, THE BUCK STOPS WITH YOU
Mheshimiwa rais, hili zogo, unyanyasaji na uendeshaji wa zoezi lisilozingatia utu, lawama zibakuangia wewe mhedhimiwa rais. Ulikuwa na nguvu za kimaamuzi na kibajeti za kuamuru hili zoezi lizingatie haki zotw za binadamu na sheria na taratibu na busara lakini unawaacha wasaidizi wako wafanye uharibifu wa mali wa hawa wananchi wa kipato cha chini. Mheshimiwa Rais Tunataka uzuie zoezi hili mara moja mpaka utaratibu mzuri uwekwe! Leo hii wanaamka watu wanavunja msli za wananchi usiku wa manane, na wewe ndiye rais unaawacha wafanye udhalimu huu maana yake nini?

6. Mheshimiwa rais, kukitokea uvunjifu wa amani, sababu ya zoezi hili wewe na chama chako cha Mapinduzi mtabeba lawama zote
Hawa wanachinga mliwageuza mtaji wa kura, mkawaahidi ahadi ambayo leo hii mnawageuka, sasa kama kukitokea uvunjifu wa amani kwa nini wewe na CCM msibebe lawama.

Mheshimiwa rais huwezi kujitoa, na kujitenga na maamuzi ya rais Magufuli katika hili suala, wewe ulikuwa ni. msaidizi wake mkuu na mgombea mwenza. Kura za Magufuli ni kura zako, Ahadi za Magufuli ni zako. Ile ilikuwa ni serikali yenu, huwezi kukwepa hili. Tueleze sisi wananchi leo kunani unakwenda nyuzi 180 tofauti katika hili suala?

7. Mheshimiwa rais, pamoja na sheria lakini nchi hii inapaswa iongozwe kwa Busara, hekima, mila nzuri na tamaduni nzuri za Mtanzania
Watanzania tulishakataa masuala ya ukandamizaji wa wananchi, Watanzania tulishasema kuwa sheria ni zetu lakini sisi hatumilikiwi na sheria hususan linapokuja suala la masilahi mapana ya wananchi. Ndiyo masna kwa mujibu wa sheria za usafiri kusimamisha watu kwenye vyombo vya usafiri vya umma haikubaliki, lakini mazingira yetu ya hali halisi yanapelekea hivyo. Ni kinyume cha sheria ndiyo lakini tunafumba macho. Sasa leo hii linapokuja suala kuhusu kula na Shibe ya watu, tunakwenda tu kutumia miguvu bila kujali social economic situation ya watu wetu?

Na kama mnasema eti mnadimamia sheria, kwani sheria ngapi mnazivunja kila siku?, Vifungu vingapi mnavivunja kila siku? —Leo hii mnavizuia vyama vya siada kufanya shughuli zao halali za kisiasa kinyume cha sheria na katiba lakini sijawahi kuona mkijutia leo, sasa eti ndo mje mtwambie kuwa mko serious na sheria za mipango miji linapokuja suala la wamachinga, Hizo sheria nyingine je mnataka kutwambia kuwa hamzioni?

Mheshimwa rais onyesha Leadership katika hili suala la wamachinga yanayoendelea nchini si sawa na hayakubaliki!

Tazama hii video usikie jinsi zoezi hili linavyoendeshwa kinyama

View attachment 1991704
Serikali wamekosea kama wana busara waombe radhi wananchi na wafidie kwa sababu wamevunja sheria.
 
Attachments

Wamewakosea sana, zoezi linaendeshwa vululuvulu, yaani hawajawapangia maeneo ya kuwatosha lakini wao wanawatimua tu!
Na bado tangazo jingine la bodaboda na babaji zote haziruhusiwi kwenda katikati ya mji isipokuwa tu kama inaendeshwa na mlemavu!!!!

Bomu jingine kwa ukwapuaji likisaidiwa na Noah au Casina linakuja kwa kasi ya radi ukizingatia hata mvua mwaka 2021/2022 imetabiriwa kuwa chache kwa uzalizaji mazao ya kilimo wananhi kazi wanayo pevu sio kidogo.
 
Back
Top Bottom