Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Habari za mchana ndugu!
Huku mataifa makubwa madaktari wakibishana kupigania chanjo walizozigundua huku madaktari wetu wako kimya.
Ok hiyo sio issue sana maana hata huko nje wapo madaktari ni mizigo pia.
Issue inayonifanya nijute ni sisi waafrika kutwakutwa kujazana upepo kuwa chanjo za COVID-19 ziko kwa ajili ya kueneza uFreemason, wengine wanasema zimekuja kutumaliza.
Ukiwauliza mahali walikofanyia utafiti wanakupiga maneno mengi.