Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Duuuhhhh, mikutano ya ndani na nje ya chadema ndio iliyopigwa marufuku kwa masingizio ya coronaMkuu wa mkoa wa Kigoma amepiga marufuku shughuli zote zinazosababisha mikusanyiko katika mkoa huo lakini leo kuna kusanyiko kuu la Simba vs Yanga.
Mtu mweusi ni Kima aliechangamka!
View attachment 1867580
Mikusanyiko inayoeneza Corona ni ya chadema pekee!Duuuhhhh, mikutano ya ndani na nje ya chadema ndio iliyopigwa marufuku kwa masingizio ya corona