Pre GE2025 Kwenye swala la Maandamano ni heri yatangazwe na Mdude na Wakili Mwabukusi kuliko CHADEMA Maridhiano!

Pre GE2025 Kwenye swala la Maandamano ni heri yatangazwe na Mdude na Wakili Mwabukusi kuliko CHADEMA Maridhiano!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukiangalia Kikosi cha Chadema cha sasa hakuna muandamanaji pale ni kuwadanganya tu Wananchi

Wale wanaotaka mabadiliko ya kweli ni heri waungane na Vuguvugu la akina Dr Mdude na Wakili msomi Mwabukusi

Sabato Njema 😄🔥
 
Back
Top Bottom