Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Jan 4, 2011 #1 WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!!
WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!!
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Jan 4, 2011 #2 Link: Dell Drivers Input device Drivers > Creative Labs Driver
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,440 Jan 4, 2011 #3 Babaubaya said: WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!! Click to expand... Your first stop should be officia del website dell.com Dell tafuta sehemu yenye techical support itakuleta hapa Welcome to Dell Technical Support Endelea kufuata maelekezo chagua model ya mashine yako Then chagua OS ambayo hujataja. Mwisho itakuletea list ya drivers , pakua driver unayotaka. 2. Tambua hardware za webcam iliyomo kwenye hiyo dell the tafuta jina la driver kwa jina wenye website kama CNEt.com
Babaubaya said: WanaJF Naomba Msaada kwa mwenye kuweza kunisaidi drivers za WebCam ya Dell Inspiron 1545. Nitashukuru na Kugonga Thankz kibao jamani msijali!!! Click to expand... Your first stop should be officia del website dell.com Dell tafuta sehemu yenye techical support itakuleta hapa Welcome to Dell Technical Support Endelea kufuata maelekezo chagua model ya mashine yako Then chagua OS ambayo hujataja. Mwisho itakuletea list ya drivers , pakua driver unayotaka. 2. Tambua hardware za webcam iliyomo kwenye hiyo dell the tafuta jina la driver kwa jina wenye website kama CNEt.com