Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Mimi sio mpenzi kabisa wa wireless earphones,
Nikanunua original Samsung Type-C earphones 30k powered by AKG kuja kutumia kasauti nilikokutana nako na niliyozoea nikahisi au nimeziharibu? ni fake? sikuwaza sana ila nikaona isiwe tabu, nika order nyingine MADE IN VIETNAM.
Kuja khaaa, ni yale yaleeee..
Ikabidi nijaribu kwenye simu za washkaji zangu nako ni yale yale..
Hapa ndio nikaamini shida ipo kwenye earphones zao wenyewe, sitaki kuamini ya kua sbb ni technolojia ngeni..
NOTE : Sauti inasikika clearly ila ni nyepesi Sanaa, physical ni imara, ukiongea na mtu ipo sawa,
Issue ni husikii kabisa mikito/bass.
Ladha ya mziki huisikii.