CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Ufugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji wengi hawajawekeza kwenye kupunguza gharama za ulishaji.
Mfano, unafuga Layers 1000+ then unanunua Chakula ni gharama sana, hapo lazima ujikite kwenye kuzalisha chakula chako mwenyewe.
Sokoni anayepata Faida ni yule aliezalisha kwa bei ya Chini na sio yule anayeuza bei ya juu.
Ukitaka uone Faida ya Ufugaji basi shariti uwekeze vilivyo kupunguza gharama hasa Chakula.