CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Upo sahihi mkuuUfugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji wengi hawajawekeza kwenye kupunguza gharama za ulishaji.
Mfano,una fuga Layers 1000+ then unanunua Chakula ni gharama sana, hapo lazima ujikite kwenye kuzalisha chakula chako mwenyewe.
Sokoni anaye pata Faida ni yule alie zalisha kwa bei ya Chini na sio yule anaye uza bei ya juu.
Ukitaka uone Faida ya Ufugaji basi shariti uwekeze vilivyo kupunguza gharama hasa Chakula
Ishu sio Mash wala nini ishu ni content mkuu, si kwamba Pillet ndo bora kuliko mash hapana, swala ni UboraMimi nafkilia kutumia kile chakula tulichokuwa tunatumia zamani,mash nataka niweke broiler hata 100 nione inakuaje.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Zamani content hizo hizo,nq tulikuwa tunatumia mash tu,na mash saizi bei ni ya kawaida sanaIshu sio Mash wala nini ishu ni content mkuu, si kwamba Pillet ndo bora kuliko mash hapana, swala ni Ubora
kuna kitu nimekipata hapa asanteTumefuga sana kuku wa kienyeji, kusema ukweli gharama ya kuwalisha kama uko shamba si kubwa sana.
Kuku wa kienyeji wanakula vitu vingi sana. Mchunga tulikua tunawachumia na kuwawekea, ukivuna mahindi weka debe kadhaa kwaajili ya chakula cha kuku. Licha ya pumba wanakula ugali pia. Ukikosa pumba unawasongea ugali unaangalia upoe wenyewe wanaselebuka.
Kama uko mjini, unaweza kuongea na wenye migahawa wakakuuzia mabaki ya ugali na ukoko wa wali.
Ulikuwa unawafungia ndani au unawaacha nje?Tumefuga sana kuku wa kienyeji, kusema ukweli gharama ya kuwalisha kama uko shamba si kubwa sana.
Kuku wa kienyeji wanakula vitu vingi sana. Mchunga tulikua tunawachumia na kuwawekea, ukivuna mahindi weka debe kadhaa kwaajili ya chakula cha kuku. Licha ya pumba wanakula ugali pia. Ukikosa pumba unawasongea ugali unaangalia upoe wenyewe wanaselebuka.
Kama uko mjini, unaweza kuongea na wenye migahawa wakakuuzia mabaki ya ugali na ukoko wa wali.
Ndio maana haya maneno yanaendana sana, kilimo na mifugo, mifugo kwaajili ya kilimo na kilimo kwaajili ya mifugo. Kuna mwingiliano mkubwa sana wa mifugo na kilimo kutegemeana sababu mifugo itatupa mbolea + nguvu kazi (kwa wanyama kama ng'ombe) lakini kilimo kitatupa malighafi kuwalisha mifugo. Wafugaji muangalie namna pia ya kufanya kilimo ili kuona namna gani mnabalance gharama za ufugaji.Ufugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji wengi hawajawekeza kwenye kupunguza gharama za ulishaji.
Mfano,una fuga Layers 1000+ then unanunua Chakula ni gharama sana, hapo lazima ujikite kwenye kuzalisha chakula chako mwenyewe.
Sokoni anaye pata Faida ni yule alie zalisha kwa bei ya Chini na sio yule anaye uza bei ya juu.
Ukitaka uone Faida ya Ufugaji basi shariti uwekeze vilivyo kupunguza gharama hasa Chakula
Tulizungusha waya na mabanda yalikuwa ndani. Mabanda tulimwaga pumba za mchele kwahiyo kulikua na joto flani hivi.Ulikua unawafungia ndan au unawaacha nje?
Nasikia kuwapa kuku makombo kutoka migahawani huwaletea maradhiTumefuga sana kuku wa kienyeji, kusema ukweli gharama ya kuwalisha kama uko shamba si kubwa sana.
Kuku wa kienyeji wanakula vitu vingi sana. Mchunga tulikua tunawachumia na kuwawekea, ukivuna mahindi weka debe kadhaa kwaajili ya chakula cha kuku. Licha ya pumba wanakula ugali pia. Ukikosa pumba unawasongea ugali unaangalia upoe wenyewe wanaselebuka.
Kama uko mjini, unaweza kuongea na wenye migahawa wakakuuzia mabaki ya ugali na ukoko wa wali.
Mzee weka picha ya mash.Mimi nafkilia kutumia kile chakula tulichokuwa tunatumia zamani,mash nataka niweke broiler hata 100 nione inakuaje.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Tupe suluhu Mkuu ili tuishi humoUfugaji hasa wa kuku ni gharama sana na Chakula huchukua asilimia zaidi ya 70 ya gharama zote za matunzo ya kuku.
Feeding coast ziko juu mno, na hazishuki bali zinapanda kila kukicha na wafugaji wengi hawajawekeza kwenye kupunguza gharama za ulishaji.
Mfano, unafuga Layers 1000+ then unanunua Chakula ni gharama sana, hapo lazima ujikite kwenye kuzalisha chakula chako mwenyewe.
Sokoni anayepata Faida ni yule aliezalisha kwa bei ya Chini na sio yule anayeuza bei ya juu.
Ukitaka uone Faida ya Ufugaji basi shariti uwekeze vilivyo kupunguza gharama hasa Chakula.
Mash ni hasara Mkuu. Watakula mifuko mingi halafu watachelewa kukua. Ungekua na mtaji ungenunua mashine ya kutengeneza pellet siku hizi zipo Hadi za 2mMimi nafkilia kutumia kile chakula tulichokuwa tunatumia zamani,mash nataka niweke broiler hata 100 nione inakuaje.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Bora kununua machine tu.Mash ni hasara Mkuu. Watakula mifuko mingi halafu watachelewa kukua. Ungekua na mtaji ungenunua mashine ya kutengeneza pellet siku hizi zipo Hadi za 2m